Evolution bado yaendelea.

Piranha, huyu samaki ni nouma wachina na uroho wao wa kula kula visvyoliwa wanamhara huyo anatafuna kilicho mbeleyake kama cherahani inavyoshona.
 
Mi ndo maana sipendi sana fish fingers! Unaweza kulishwa makitu hata sura hayana, aagh!
 
Tumwite samaki mtembezi..., coz ana miguu!!
Ila adhani alikuwepo ni vile tu hakuwahi kuonekana kabla!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…