Everything is Smart nowadays...

wickerman

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
408
Reaction score
252
Sony wana develop Smartwig, wig ya kuvaa kichwan, ila itakua inabeba computer ya kukusaidia kwenye kutembea, directions, presentations nk


Microsoft nao wanadevelop a Smartbra, ili kusaidia watu(
Mostly wanawake) from emotional eating.


Kutoka kwenye smartwatch, sasa kuna smart ring, inaconnect kwenye device yako ya Android au iOS


Yani siku hizi, kila kitu smart, Mpaka PETE!, Hii ni nouma aisee


 
Tunahitaji pia smart politicians ili gurudumu la maendeleo liende kasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…