mi wala siibii bali naomba kabisa simu nisome kwa kina lol
Ha ha haaa siku nyingi!!!!Msema kweli mpenzi wa Mungu. Ataskia kadakwa mkono, hebuuu huyu ni nani?
wivu ni kidonda ukiushiriki utakonda bure..
Msema kweli mpenzi wa Mungu. Ataskia kadakwa mkono, hebuuu huyu ni nani?