Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,845
- 141,229
[emoji47] [emoji47] Mbona hana hata shanga kama chausiku wangu..[emoji39] [emoji39]
Huyu dogo atamsumbua sana baba yake..
Noma she twerk like a slut..Kanaonekana kana uchakaramu flani hivi..
She's a young adult, a college-bound princess, dah! Kuwa mzazi nakwo ni headache tupu wakati mwingine.She is just a kid.
Bongo wazazi wanataka mtoto uwe either Dr, engineer au lawyer tofauti na hapo ni disgrace to the family. Sasa jiulize wangapi ni disgrace kwa familia zao.Watoto wa kike huwa na choice zao tofauti na matamanio ya wazazi wao kabisa....Usije shangaa Malia akamzimia Rapper mmoja muhuni mbaya ndo akawa chaguo lake huyo...
Pole Mkuu,umeandika kwa masikitiko sana japo bado haijakutokea, Jitahidi tu kumlea katika maadili mazuri na pia umfundishe kumpenda Mungu hope Mungu atamlinda na MafisiMada imenigusa.Kila Mara huwa namfikiria binti yangu.Itakuwaje atakapobarehe?Atanisikiriza tena kama sasa?Katika yote hayo sipendi hata kidogo kuwaza kuwa atamvulia chupi mwanamume.daah, so sad.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaaa USA baby wachucu hawavai hirizi kiunoni bana....
Ndiomaana jamaa wa kimasaai aliamua kutangaza mahari ya ng'ombe 1000Kanaonekana kana uchakaramu flani hivi..
Huyu dogo atamsumbua sana baba yake..
Hapo ndipo unaona maana ya maneno "Kuzaa sio kazi, kazi kulea mwana"Mada imenigusa.Kila Mara huwa namfikiria binti yangu.Itakuwaje atakapobarehe?Atanisikiriza tena kama sasa?Katika yote hayo sipendi hata kidogo kuwaza kuwa atamvulia chupi mwanamume.daah, so sad.
huyo jamaa hapo pembeni ndio anamlinda huyo dogo?