Ever heard of this?

vivian

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
1,749
1,000
Watu wanaangusha malori ya Mizigo kwa makusudi walipwe na insurance???
I dont know how this happens but kuna mdau yeyote alishazisika hizi????

Hata kama ni usanii, hapa wabongo tumepitiliza!!!!
 
Haya mambo tangia zamani, yapo kila mahali hayazuiliki, au labda kampuni ya insurance iwe na kitengo kizuri cha kuchunguza ajali lakini pia people dare.
 
Jamini hili jambo la kawaida sana duniani....si Tanzania tu.Limeanzia huko kwenye nchi zilizoendelea ila kutokana mifumo yao kukomaa linaweza kuwa halifanyiki kwa sasa.

Hapa Tanzania si magari tu si unaona siku hizi watu wanavyochoma majengo....haya mambo ya kawaida jamani.It must have something to do with insurance....

Ndo biashara hizo...lolz....
 
Kumbeee!!! aaahh!! you have hit the point!!!
 
Watu wanaangusha malori ya Mizigo kwa makusudi walipwe na insurance???
I dont know how this happens but kuna mdau yeyote alishazisika hizi????

Hata kama ni usanii, hapa wabongo tumepitiliza!!!!

POLE, leo ndy unaskia, tena haijaanzia bongo! U.S kuna mwarabu mmoja wamemkamata, yeye alikuwa anapata contract ya kugongesha gari kwa 500 usd! ni scamming ya aina yake mama, MJINI SHULE
 
Back
Top Bottom