Nilisikia huzuni thisweek niliposikia Oral Roberts amefariki. Ni mhubiri wa zamani sana na amefanya mambo makuwa sana kwa jamii. It ws sad but amemaliza kazi 91!!!! na kuwa promoted to glory.
Amen. Ama kweli waishio kwa ajili ya roho miili yao haifi mapema. Lakini wale waipendao dunia na tamaa za mwili. Akifika 40 anaonekana kibabu au ajuza na wanakuwa choka mbaya. Bwana Yesu Asifiwe. Amen