Wont be the same
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,564
- 2,483
Kada wa chama cha mapinduzi (CCM) comrade Evance Emmanuel Kamenge amechukua fomu kugombea ubunge jimbo la Missenyi Kagera.
Hatua hiyo inaashiria dhamira yake yakuchangia maendeleo kikamilifu kwa wana Missenyi kupitia uwakilishi Bungeni.
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
Mbali na taaluma yake ya uchumi ,Evance Kamenge pia ni Mfanyabishara na mdau mkubwa wa maendeleo katika jamii yake.