Mipangomingi
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 2,713
- 2,062
Aliyewahi kuwa gwiji wa Soka miaka ya 60 nchini Ureno Eusebio da Silva amefariki dunia akiwa na miaka 71. Eusebio ambaye alizaliwa mwaka 1942 nchini Msumbiji wakati nchi hiyo ikiwa koloni la Ureno inaaminika ndiye mchezo bora zaidi kuwahi kutokea ktk enzi zake nchini Ureno na ambaye alikuwa akikipiga na klabu ya Benfica. Source: bbc breaking news