Euro!

Ndo unawekewa mezani kwako,huku jamaa kashika documents magumashi uzisaini....yataka moyo.
 
jamaa mbona wana noti ya pesa nyingi uro 500!.
 
Euro 500 sawa sawa na shilingi millioni moja na ushee ya kitanzania
 
jamaa mbona wana noti ya pesa nyingi uro 500!.

Ndio hapo nashangaa sijui za nini wakati malipo kwa pesa taslimu mwisho euro 1,000, zaidi ya hapo ulipe kwa kadi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…