Euro currency account vs TZS cash

Euro currency account vs TZS cash

ffoJ

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2014
Posts
398
Reaction score
535
Habari wanna JF?

Ninaomba kuuliza,,, ukiwa na account ya fedha za kigeni Kama ya currency ya Euro , Je, unafanyaje ili uongeze thamani ya pesa utakayoitoa kutoka kwenye account yako?

A) Unatumia ATM ili itoke TZS straight
B) Unaenda dirishani utoe Euro cash ili ukabadilishe nje kwa bureau de change/Bank
C) ...

Msaada plz

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom