Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,502
- 9,282
Zifatazo ni kampuni zilizosepa urusi, Google, Amazon, Pepsi, Coca-Cola, Apple, Nike, Master card,visacard, Instagram, YouTube, Facebook, Boeing, Nissan, Toyota, hakuna kununua makaa ya Mawe,n.k hizo kampuni ziliajiri warusi wengi so wamekosa ajira, na capital flow imepungua so Urusi sio mungu lazima vikwazo vitamuathiri Sana tuVikwazo vyovyote atakavyo weka EU havito muumiza Russia, bali vitaendelea kuwaumiza wananchi wao. Yaani kama US na EU wangekuwa wanashikilia hewa ya Oksijeni mpaka wangekuwa washaizuia Russia may be wangeiumiza Russia lkn hivyo vingine Russia alisha jiandaa navyo...
Hebu niambie Urusi alivyo badilisha utaratibu wake wa kuuza gesi kwa hela yake, vipi kampuni za huko EU na US pamoja na wananchi wao wana hali gani?Zifatazo ni kampuni zilizosepa urusi, Google, Amazon, Pepsi, Coca-Cola, Apple, Nike, Master card,visacard, Instagram, YouTube, Facebook, Boeing, Nissan, Toyota, hakuna kununua makaa ya Mawe,n.k hizo kampuni ziliajiri warusi wengi so wamekosa ajira, na capital flow imepungua so Urusi sio mungu lazima vikwazo vitamuathiri Sana tu
Zifatazo ni kampuni zilizosepa urusi, Google, Amazon, Pepsi, Coca-Cola, Apple, Nike, Master card,visacard, Instagram, YouTube, Facebook, Boeing, Nissan, Toyota, hakuna kununua makaa ya Mawe,n.k hizo kampuni ziliajiri warusi wengi so wamekosa ajira, na capital flow imepungua so Urusi sio mungu lazima vikwazo vitamuathiri Sana tu
Yaani Google wasepe, Coca-Cola wasepe, Pepsi, Nike, Amazon, no visa card, master card, no kuuza mafuta no kuuza makaa ya mawe afu useme Urusi haitayumba,
Mbuzi kabisa hii,watu wanalia gharama za maisha,ikiwemo chakula kua juu wewe unazungumzia instagram kuondoka urusi? Kwaio apo ulipo unakula instagram.?Zifatazo ni kampuni zilizosepa urusi, Google, Amazon, Pepsi, Coca-Cola, Apple, Nike, Master card,visacard, Instagram, YouTube, Facebook, Boeing, Nissan, Toyota, hakuna kununua makaa ya Mawe,n.k hizo kampuni ziliajiri warusi wengi so wamekosa ajira, na capital flow imepungua so Urusi sio mungu lazima vikwazo vitamuathiri Sana tu
Russia sio Zimbabwe, huu msumeno unakata juu na chini.Halmashauri Kuu ya Ulaya imependekeza leo vikwazo vipya dhidi ya Urusi, ikiwemo marufuku ya ununuzi wa makaa ya mawe...
Bora ungesemaWanajeshi wa Urusi wangeanza na Putin kumuondoa.Ameiletea Russia na Dunia kwa ujumla majanga makubwa.
Urusi hajailetea majanga dunia na hajamuwekea vikwazo vya kumumiza mtu bali yy kabadilisha utaratibu kwa nchi ambayo ni adui wa Russia gesi atanunua kwa hela yake ya Ruble.Wanajeshi wa Urusi wangeanza na Putin kumuondoa.Ameiletea Russia na Dunia kwa ujumla majanga makubwa.🤔
Wanatakiwa kumfanyia assassinationWanajeshi wa Urusi wangeanza na Putin kumuondoa.Ameiletea Russia na Dunia kwa ujumla majanga makubwa.
Vikwazo vitaiumiza EU kwa kiasi fulani ila vitaiumiza Russia zaidi long-term. Kusema kuwa vikwazo havitoiumiza kabisa Russia si kweli.Vikwazo vyovyote atakavyo weka EU havito muumiza Russia, bali vitaendelea kuwaumiza wananchi wao. Yaani kama US na EU wangekuwa wanashikilia hewa ya Oksijeni mpaka wangekuwa washaizuia Russia may be wangeiumiza Russia lkn hivyo vingine Russia alisha jiandaa navyo.
Vikwazo vyao vya kipuuzi havimuumizi Russia, ila kikwazo kimoja tena sio kikwazo kwani Russia hajamzuia mtu kununua mafuta na gesi bali kabadilisha utaratibu wa kununua kwa hela yake, still wananchi wao wa EU na US gharama za maisha zimepanda, je angesema afunge mafuta na gasi si wangetafutana.
Angewekewa US ingekuwa balaa lingine maana karibia mifumo ya fedha na makampuni mengi ya tech tunzotegemea ni ya kwao.Hii vita inadhihirisha jinsi Russia ilivyo na influence katika nyanja mbali mbali duniani.
Marekani alipoivamia Iraq, Afghanistan na Libya hizi tabu hazikutokea
Nadhani hata USA angewekewa vikwazo pasingekua na mabalaa ya kupanda kwa gharama za maisha kama ilivyo sasa
We all underestimated the influence of Russia in geopolitics, and now we are paying the price of our ignorance.
Mbona huongelei jinsi watu wa magharibi wanavyoteseka chakula kimepanda, gas na oil?Zifatazo ni kampuni zilizosepa urusi, Google, Amazon, Pepsi, Coca-Cola, Apple, Nike, Master card,visacard, Instagram, YouTube, Facebook, Boeing, Nissan, Toyota, hakuna kununua makaa ya Mawe,n.k hizo kampuni ziliajiri warusi wengi so wamekosa ajira, na capital flow imepungua so Urusi sio mungu lazima vikwazo vitamuathiri Sana tu