EU yapitisha vikwazo vipya dhidi ya Urusi

EU yapitisha vikwazo vipya dhidi ya Urusi

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,183
Reaction score
2,100
Umoja wa Ulaya umetoa kibali chake cha mwisho kwa vikwazo vipya kwa mafuta ya Urusi na benki kuu ya Sberbank, kama adhabu ya vita

Viongozi wa Umoja wa Ulaya walikubaliana Alhamisi, June 2, zuio la uagizaji mafuta ghafi ambalo litaanza kutekelezwa kikamilifu ifikapo mwisho wa mwaka 2022.

Vikwazo vipya pia vimejumuisha kupiga marufuku vyombo vingine vitatu vya habari vya serikali ya Urusi na kuiondoa benki kubwa zaidi ya nchini humo Sberbank, katika wa mfumo wa Society for Worldwide Interbank Financial Telecommunication (SWIFT).

========

The European Union has given its final approval to new sanctions on Russian oil and top bank Sberbank, after much wrangling with Hungary, as punishment for Russian President Vladimir Putin’s February 24 invasion of Ukraine.

EU leaders, used to plentiful supplies of Russian energy, agreed on Thursday to a partial embargo on crude oil imports that will take full effect by the end of 2022. Hungary and two other landlocked Central European states secured exemptions for the pipeline imports they rely on.

The sixth round of sanctions also included banning three more Russian state media outlets and cutting off Russia’s biggest bank, Sberbank, from the Society for Worldwide Interbank Financial Telecommunication (SWIFT) system.

The war brought ties between Russia and the West to new lows and the latest EU sanctions will cut 90 percent of Russian oil imports to the bloc of 27 nations and 450 million people.

“This will reduce Russia’s capacity to finance its war,” European Commission President Ursula von der Leyen said of the measures.

One prominent person who will not be blacklisted despite plans to the contrary, however, is the head of the Russian Orthodox Church, Patriarch Kirill, a close Putin ally. Hungary’s opposition blocked the necessary EU unanimity.

Hungary escalated demands in recent weeks over the oil embargo. To win Budapest over, other EU countries agreed to water it down by exempting oil delivered by the Druzhba pipeline going to Hungary, Slovakia and the Czech Republic.

INTERACTIVE- Which countries rely most on Russian oil AJLABS

Source: Al Jazeera
 
Russia ikifika miaka 2 toka sasa itakuwa kama Zimbabwe, taarifa za leo uchumi wao umeporomoka 27%., Putini atajuta sana, raia karibu milioni 4 wa Russia wametokomea kusiko julikana kutafuta maisha mapya. Urusi haikaliki tena
 
Haya mambo yangekuwa yanaishia huko huko kwao ingekuwa afadhali, shida ni kwamba athari zake zinatufikia huku Kakonko Kigoma.

YESU KRISTO NI BWANA NA MWOKOZI
 
Mimi nikajua vikwazo vinaanza leo leo kumbe mpaka 2023 wakati Zele hayupo madarakani.
 
Tunazungumzia uchumi, majengo hayaliwi mkuu ndio mana warusi wanatokomea, ata Ukraine ambayo imeshambuliwa sana majengo yake na watu kuuliwa bado uchumi wa Ukraine uko juu kuliko Russia.
😳😳😳😳
 
Russia ikifika miaka 2 toka sasa itakuwa kama Zimbabwe, taarifa za leo uchumi wao umeporomoka 27%., Putini atajuta sana, raia karibu milioni 4 wa Russia wametokomea kusiko julikana kutafuta maisha mapya. Urusi haikaliki tena
Hivi mkuu unajua Urusi kabla ya kusambatratika iliyokuwa USSR waliishi katika hivyo vikwazo na maisha yalisonga,ukumbuke baada ya msambaratiko Urusi hii ya sasa ndio kile kitovu cha USSR kilipokuwa,ni kweli watatikisika kidogo then maisha yataendelea,usilinganishe kabisa Zimbabwe na Urusi,ni vitu viwili tofauti sana...
 
Hakuna nchi hata 1 iliyotengwa na mataifa yenye nguvu duniani na ikaweza kusimama kwa miguu yake na kuwa nchi tajiri., Russia mshirika wake ni china, India, North korea ambapo ukitoa North Korea china na India uchumi wao wanaitegemea Marekani kwa 60% zaidi, North Korea karibuni walitangaza njaa, Iran walilazimika kutumia chanjo toka marekani kupunguza maambukizi ya Covid-19 badala ya awali kuzikataa katakata

Russia toka itengwe na dunia raia wake karibu milioni 4 wamehama nchi na kuelekea kusikojulikana kutafuta kazi na maisha mapya

Russia ili aweze kusimama ni lazima auze gesi na oil ambapo kwa ulaya pekee soko lake likimuingizia 40% sasa amekosa hiyo na kadri tunavyoenda ushawishi wa West ni mkubwa ifikapo mwisho wa mwaka huu zile nchi zote zilizobaki za ulaya zimepata mbdala na watalazimika kuacha kutegemea urusi kwa chochote, hicho ni kikao kilichofanyika juzi., Russia anaelekea kubaya zaidi

Urusi imeneemeka baada ya kuvunjika huo umoja uitao USSR lakini ikaungwa mkono na ulimwengu kuweza kupata mahali pa kufanya soko lake biashara kama hiyo gesi nchi zote hizo zaidi ya 30 zikiitegemea urusi lakini sasa mirija imeshakatwa gesi atamuuzia nani?
 
Wengi hawaelewi Hiki unachosema ila baada ya miezi 7 mbele watapata majibu juu ya vikwazo vya uchumi nchini Russia
 
warusi wa bongo watakwambia hivyo vikwazo ni cha mtoto, mrusi ana nguvu kubwa kiuchumi duniani.
 
Back
Top Bottom