EU yapitisha vikwazo vipya dhidi ya Urusi

Hakuna nchi hata 1 iliyotengwa na mataifa yenye nguvu duniani na ikaweza kusimama kwa miguu yake na kuwa nchi tajiri., Russia mshirika wake ni china, India, North korea ambapo ukitoa North Korea china na India uchumi wao wanaitegemea Marekani kwa 60% zaidi, North Korea karibuni walitangaza njaa, Iran walilazimika kutumia chanjo toka marekani kupunguza maambukizi ya Covid-19 badala ya awali kuzikataa katakata

Russia toka itengwe na dunia raia wake karibu milioni 4 wamehama nchi na kuelekea kusikojulikana kutafuta kazi na maisha mapya

Russia ili aweze kusimama ni lazima auze gesi na oil ambapo kwa ulaya pekee soko lake likimuingizia 40% sasa amekosa hiyo na kadri tunavyoenda ushawishi wa West ni mkubwa ifikapo mwisho wa mwaka huu zile nchi zote zilizobaki za ulaya zimepata mbdala na watalazimika kuacha kutegemea urusi kwa chochote, hicho ni kikao kilichofanyika juzi., Russia anaelekea kubaya zaidi

Urusi imeneemeka baada ya kuvunjika huo umoja uitao USSR lakini ikaungwa mkono na ulimwengu kuweza kupata mahali pa kufanya soko lake biashara kama hiyo gesi nchi zote hizo zaidi ya 30 zikiitegemea urusi lakini sasa mirija imeshakatwa gesi atamuuzia nani?
Umeiandika upupu kabisa oil na gesi unaisi ulaya ndyo wanayoitumia Tu India alikuwa ananunua asilimia 7 ya mafuta kutoka urusi Ila saivi ameongeza ununuaji WA wese kutoka Urusi kila siku mapipa million 2 ynanunuliwa India pekee China alikuwa ana nunua mafuta ya urusi Kwa asilimia25 Hadi 30 ilasaivi kaongeza ununuzi WA mafuta mara mbili zaidi gesi na makaa ya mawe Indonesia na veitnam nawo wanafikiria kuagiza mafuta na gesi asilia kutoka Rusia mifumo ya malipo ya kibenk ishabadilishwa yote baada ya swift kufungia huduma zake internet wanatumia ya kwao saivi washaachana na yakuunganishwa Kwa manyanyaso kwenye hotuba ya Putin mwaka huu alisema uzalishaji WA chakula hasa ngano utakuwa mara mbili zaidi ya mwkaa Jana Ile siyo Zimbabwe kijana Rusia hakukurupuka kwenye ili alipiga hesabu zake vizuri sana uchumi WA Rusia utayumba kidogo Ila utakaa Sawa kuanzia mwaka keshe kutwa dunia saivi inaamia east na viwanda vingi vinafunguliwa indonesia, India, veitnam, na nishati kwao no muhimu snaa kwaiyo utasubiri snaa Rusia kuwa kama Zimbabwe awoo watu wanaoama nchi ilo no Jambo la kawaida katika utafutaji siyo kama nyie mnajazana nchini kutoka apo Kenya Tu mtu unaogopa
 
Umechambua vizuri sana,
Asipoelewa atakuwa mmarekani
 
Ivi unachukulia hutuba na maneno aliyozungumza Putin siku kwenye sherehe za mwaka., Putini ni kiongozi muongo sana, mwoga sasa kama ameimarika kwanini juzi aliomba kupunguziwa vikwazo ili zile meli za chakula katika bahari ya black sea ndio aziachie? kwanini?

Haijawai tokea warusi kuhama nchi yao kwa kiwango cha milioni 4, em fuatilia mkuu naona uvivu umekushika, Kama Warusi wamefunga Internet yao wangekuwa wanatumia VPN angalau kutuma ujumbe mfupi? Technologia hana urusi ni propaganda tu. Hiyo miaka unayotaja ndio russia itakuwa kama zimbabwe, watanunua chapati 1 kwa thamani shilingi elfu 8 hela ya huko kwenu za madafu.

Soma hapa chini vikwazo vyengine maamuzi ya June 2

Umoja wa Ulaya umetoa kibali chake cha mwisho kwa vikwazo vipya kwa mafuta ya Urusi na benki kuu ya Sberbank, kama adhabu ya vita

Viongozi wa Umoja wa Ulaya walikubaliana Alhamisi, June 2, zuio la uagizaji mafuta ghafi ambalo litaanza kutekelezwa kikamilifu ifikapo mwisho wa mwaka 2022.

Vikwazo vipya pia vimejumuisha kupiga marufuku vyombo vingine vitatu vya habari vya serikali ya Urusi na kuiondoa benki kubwa zaidi ya nchini humo Sberbank, katika wa mfumo wa Society for Worldwide Interbank Financial Telecommunication (SWIFT).
 
Tatizo wengi uku mnajibu hoja kiushabiki bila fact ivi urusi anayezalisha ngano, mafuta Kwa wingi alafu anunue chapati Kwa gharama kubwa ata ww inakuingia akili kweli alafu ivyo vikwazo vya mafuta siyo Kwa dunia nzima boss vimetolewakwa nchi za ulaya na Marekani dunia bado inaenda na urusi kwenye mambo mengi Tu ndyo maana unaona mafuta na makaa ya mawe bado yananunuliwa Kwa wingi na India China na nchi nyingine nyingi Tu watu kuama nchi ni kama ng'ombe kutafuta malisho Hali ya uchumi WA Rusia haijawa mbaya ata inflation haijawapiga snaa bidhaa nyingi bado ziko bei ya kawaida mifumo ya kibiashara itabadilika Ila si kiivyoo kama mnavyoaminishwa
 
Russia ikifika miaka 2 toka sasa itakuwa kama Zimbabwe, taarifa za leo uchumi wao umeporomoka 27%., Putini atajuta sana, raia karibu milioni 4 wa Russia wametokomea kusiko julikana kutafuta maisha mapya. Urusi haikaliki tena
Kuna watu wanatumia makalio kufikiri na kutype
 
Russia ikifika miaka 2 toka sasa itakuwa kama Zimbabwe, taarifa za leo uchumi wao umeporomoka 27%., Putini atajuta sana, raia karibu milioni 4 wa Russia wametokomea kusiko julikana kutafuta maisha mapya. Urusi haikaliki tena
Reference Iko wapi !? Au unaropoka tu
 
Tunazungumzia uchumi, majengo hayaliwi mkuu ndio mana warusi wanatokomea, ata Ukraine ambayo imeshambuliwa sana majengo yake na watu kuuliwa bado uchumi wa Ukraine uko juu kuliko Russia.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119][emoji119]

Uongo mpaka umepitiliza
 
Tunazungumzia uchumi, majengo hayaliwi mkuu ndio mana warusi wanatokomea, ata Ukraine ambayo imeshambuliwa sana majengo yake na watu kuuliwa bado uchumi wa Ukraine uko juu kuliko Russia.
We ni kiazi
 
Russia ikifika miaka 2 toka sasa itakuwa kama Zimbabwe, taarifa za leo uchumi wao umeporomoka 27%., Putini atajuta sana, raia karibu milioni 4 wa Russia wametokomea kusiko julikana kutafuta maisha mapya. Urusi haikaliki tena
Kituko, anayetoa takwimu za kuporomoka uchumi wa Russia ni Marekani na Nato yake , very shame .
Akili ya kuambiwa, changanya na zako
 
Back
Top Bottom