EU wameiondoa gesi ya Urusi katika vikwazo

EU wameiondoa gesi ya Urusi katika vikwazo

DeepPond

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2017
Posts
43,321
Reaction score
109,612
Baada ya kikao Cha umoja wa ulaya kumalizika, Waziri mkuu wa Czech akasema

"Gesi ya urusi haitakua tena miongoni mwa sanctions ktk hii awamu ya saba inayofuata ya vikwazo dhidi ya urusi"[emoji4][emoji116]

Waziri mkuu huyo anasema tayar washaandaa seti ya vikwazo, vitawasilishwa punde TU siku za Hivi karibuni.

ila kwenye suala la gesi ya urusi, wanachama wengi wa
nchi nyingi za ulaya hawakua tayar kuachana nayo kwa sasa.

Chanzo:
-Gazeti la Reuters
-Gazeti la Serikali ya ukraine,mjini kyiv- (kyiv independent).

Screenshot_20220714-101356.jpg
 
Back
Top Bottom