dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 25,429
- 58,068
... huyo jamaa ana matatizo Mkuu.Duh wanaume mnafika huko?
Aaaah kaeni chini myamalize,,,,,hamjifunzi kitu Toka EU wanamalizana na Urusi kuhusu gesi ingawa walisusa wenyewe[emoji1787]
... huyo jamaa ana matatizo Mkuu.Duh wanaume mnafika huko?
Aaaah kaeni chini myamalize,,,,,hamjifunzi kitu Toka EU wanamalizana na Urusi kuhusu gesi ingawa walisusa wenyewe[emoji1787]
Pesa yake inazidi kupanda thamani kila kukicha mfano mdogo tu huoUrusi ndie mwenye hasara kubwa. kapoteza askari,silaha na biashara kubwa...
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii issue ya Russia kuwatwanga inakutesa sana Yahudi mweusi wa Nzega.
Oyaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23], mbona unatumia nyundo kuuwa mbu[emoji16]Yahudi mweusi hii ni JF'
JF is an open forums,ukisha weka thd au comment inakua sio mali yako tena,na kila mtu anakua free kucomment,
Naona leo umemtukana Nguruwe! au umejisahau?
Nyokoooo now you're talking. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]... sometimes kuna kitu kinaitwa win-win situation. Inakubalika hiyo.
Naona dawa Ina kuingia kisawa sawa [emoji28][emoji28][emoji28]... wewe nguruwe nilishakuonya siku nyingi ku-quote posts zangu!
Ouch ouch [emoji16][emoji16][emoji16]Uzuri wa Putin ninachomkubali huwa hataki na lako kabla la lake kutimia kwanza, kwa hiyo Russia imepata Cha kuanzia kwenye kuondoa vikwazo vyote na Putin katest mitambo kwa siku 10 bila gesi itakuwaje na kajua bila gesi yake ulaya itakuwa kama Kijiji Cha msomera
Ukiwa na matatizo unakua unahisi kila mtu ana matatizo kama ulivyo wewe,wahi matibabu hujachelewa sana.... huyo jamaa ana matatizo Mkuu.
Hapa umejibu vizuri,vipi ile hela uliwatumia wazee?Wamebana wakaona Putin hatafuti huruma kwa mtu wameamua kunyoosha maboko juu
Safari hii mazungu yamekuwa kichekesho cha Dunia yanaviolate sanctions walizoziweka wenyewe
Pesa ipi,wazee ganiHapa umejibu vizuri,vipi ile hela uliwatumia wazee?
Sisi gesi time mkabidhi mchina. Hatutaki kuumiza kichwa kama Mrusi.Baada ya kikao Cha umoja wa ulaya kumalizika, Waziri mkuu wa Czech akasema
"Gesi ya urusi haitakua tena miongoni mwa sanctions ktk hii awamu ya saba inayofuata ya vikwazo dhidi ya urusi"[emoji4][emoji116]
Waziri mkuu huyo anasema tayar washaandaa seti ya vikwazo, vitawasilishwa punde TU siku za Hivi karibuni.
ila kwenye suala la gesi ya urusi, wanachama wengi wa
nchi nyingi za ulaya hawakua tayar kuachana nayo kwa sasa.
Chanzo:
-Gazeti la Reuters
-Gazeti la Serikali ya ukraine,mjini kyiv- (kyiv independent).
View attachment 2289863
Sio TU kupinga magoti ila wakinyoosha na mikono juu,wakiomba yaishemaisha yaendelee.Kama vile NAPE alivyopiga goti kwa bwana yule,vivyo hivyo MABEBERU yatapiga goti kwa bwana yule.
Biashara zinarudi Tena Kwa kubembeleza🏃🏃🏃🏃Urusi ndie mwenye hasara kubwa. kapoteza askari,silaha na biashara kubwa...
Lengo LA wanajeshi vitani ni kufa na kupona,pia urusi haangalii faida ya muda mfupi,anaitazamia Russia itakapo kuwa miaka ijayo. Biashara iharibike,wanajeshi wafe,silaha ziharibike hayo ni madogo,makubwa ni Russia atamalaki after some years.Urusi ndie mwenye hasara kubwa. kapoteza askari,silaha na biashara kubwa...
Haya ni mawazo yako...Ukweli hawakutegemea ilivyo sasa.Lengo LA wanajeshi vitani ni kufa na kupona,pia urusi haangalii faida ya muda mfupi,anaitazamia Russia itakapo kuwa miaka ijayo. Biashara iharibike,wanajeshi wafe,silaha ziharibike hayo ni madogo,makubwa ni Russia atamalaki after some years.
Nahuo unaitwa uzalendo wakweli Kwa taifa na Dunia,na SII uzalendo wa Beberu America na Ulaya 🏃🏃🏃Lengo LA wanajeshi vitani ni kufa na kupona,pia urusi haangalii faida ya muda mfupi,anaitazamia Russia itakapo kuwa miaka ijayo. Biashara iharibike,wanajeshi wafe,silaha ziharibike hayo ni madogo,makubwa ni Russia atamalaki after some years.