bernard10
JF-Expert Member
- Apr 2, 2021
- 410
- 732
Leo mwenyekiti wa umoja wa ulaya(na viongozi wote wakubwa) wamekataa maombi ya Ukraine kuwa mwanachama wa ulaya baada ya siku chache zilizopita kukataa kutimiza haja yake yakutaka kutimizwa kwa no fly zone.
Wakizungumza na vyombo vya habari viongozi wa EU wameweka wazi kuwa uwanachama wa EU siyo rahisi na haraka kuupata (wakitolea mfano Was.Macedonia etc) kwamba unahitaji mazungumzo ya muda mrefu na makubaliano hivyo wasingeweza kutoa ahadi na matumaini ya uwongo kwa bwana Zelensky na Ukraine.