Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,576
- 38,169
RUSSIA sio CHAD
huyo hayupo nchini kala kona kaacha msala kwa wenzieYeye anasema Bado yupo kyv na kwamba hatishwi na mbwa yeyote
Unajua huyu jamaa alimzatau Mrusi alisahau kua hao anaowategemea naMrusi wote ni wakubwa watupu . Yani Marekan amuekee mrusi no fly hahahaha hawa jamaa walibugi kwel kwenye kuchagua Rais ,badala kuchagua Rais wamechagua mchekeshaji asiyekua na weledi wa mamboHuyu jamaa bwana daaah!! Sasa alidhani kuweka no fly zone ni sawa na kumzuia mke asitoke nje eeh? Anadhani NATO hawajui balaa la Russia mpaka waweke hiyo no fly zone?
Acha avune alicho panda.
Mtu anatumia Internet yake pekeyake tofauti na tunayotumia dunia nzima ,yani huyu jamaa mwehuAkumbuke Russia sio Sawa na Syria ambayo unaweza kukurupuka saa yoyote na kuweka no fly zone.
Comedian Zelensky naona wamemtelekezaLeo mwenyekiti wa umoja wa ulaya(na viongozi wote wakubwa) wamekataa maombi ya Ukraine kuwa mwanachama wa ulaya baada ya siku chache zilizopita kukataa kutimiza haja yake yakutaka kutimizwa kwa no fly zone.
Wakizungumza na vyombo vya habari viongozi wa EU wameweka wazi kuwa uwanachama wa EU siyo rahisi na haraka kuupata (wakitolea mfano Was.Macedonia etc) kwamba unahitaji mazungumzo ya muda mrefu na makubaliano hivyo wasingeweza kutoa ahadi na matumaini ya uwongo kwa bwana Zelensky na Ukraine.
View attachment 2147369
Aisee uko sahihi... huyu jamaa hakujua siasa za kimagharibiUnajua huyu jamaa alimzatau Mrusi alisahau kua hao anaowategemea naMrusi wote ni wakubwa watupu . Yani Marekan amuekee mrusi no fly hahahaha hawa jamaa walibugi kwel kwenye kuchagua Rais ,badala kuchagua Rais wamechagua mchekeshaji asiyekua na weledi wa mambo
Alishindwa kufunzwa na baba ake USA, sahivi anafunzwa na ulimwengu RUSSIA[emoji16]
Tatizo binadamu wa siku hizi (Ukraine) wabishi Sana.....Safi sana...
Hakika... Dunia ni tambara bovu...Tatizo binadamu wa siku hizi (Ukraine) wabishi Sana.....