Uchaguzi 2020 EU declaration on the upcoming elections in Tanzania

CCM WAMECHUKUA HELICOPER ZA TPDF KWENYE HANGA ZAKE ZA NGERENGERE NA DAR KUZIBANDIKA STICKER ZA CCM

WAKATI nchi inakabiliwa na vita na moto TPDF imeshindwa kutoa vyombo hivyo kwenda kukagua mlima au kwenda mtwara kwa kiwango cha kutosha huku pia ndege zake nyingi zikiwa grounded kwa kukosa service
na kufanya tanapa waingie gharama kubwa kukodi helicopters

helicopter tatu zina sticker za CCM na nyingine nne kubwa zinakuwa naye kumlinda kama rais wa nchi ... jumla 7

hiii ni kati ya hizo

IMG_3845.jpg
 
Wamuulize Gaddafi na Noriega
Hawa watu hatari Sana
Kwa nini Chaguzi zote walikaa kimya
I am getting scared now
NEC hatma ya Tanzania inategemea uadilifu wenu
 
Tamko litolewe
Vituo hewa visakwe nchi nzima
Watoto wa Shule na wasiojianeikisha wasiruhusiwe kupiga kura,kwa usalama wa watoto wetu.
Nguvu ya Umma iwasindikize mawakala wa CDM na iwalinde wakiwa ndani ya vituo.
Taarifa hizi zitolewe nchi nzima na Vyombo vya habari vya ndani na nje vielezwe.

Nguvu ya Umma ianze kufanya kazi Sasa.
 
Ni Jambo la kawaida izi Taasisi kutoa matamko ya kutaka Amani,Haki na utulivu katika chaguzi za Afrika. Kama Marekani wakitoa tamko ujue waingereza wata fuatia na umoja wa ulaya ni Jambo la kawaida kabisa. Ata wao wameshajua JPM atashinda uchaguzi na Amani na utulivu vitaendelea kuwepo.
Jidanganyeni tu. Mwaka huu ni mambo mawili. Mkubali haki ichukue nafasi yake au mletewe arrest warrants na ICC pamoja na kuwekewa vikwazo vikali vya kiuchumi hadi wanajeshi wenu wawageuke kama Mugabe
 
Kumbuka hao ndio JPM anawapigia magoti kuomba mikopo.
Hujui nature ya mikopo ya kimataifa,ile sio misaada ndio maana tunalipa kwa riba na sio kwa manufaa yetu wao ndio wafaidika zaidi.Na kwa taarifa yako mashirika mengi ya kimataifa yanahitaji tukope kwao
 
Jidanganyeni tu. Mwaka huu ni mambo mawili. Mkubali haki ichukue nafasi yake au mletewe arrest warrants na ICC pamoja na kuwekewa vikwazo vikali vya kiuchumi hadi wanajeshi wenu wawageuke kama Mugabe
Acha ujinga ICC ndio nini?Subiri dawa
 
Hujui nature ya mikopo ya kimataifa,ile sio misaada ndio maana tunalipa kwa riba na sio kwa manufaa yetu wao ndio wafaidika zaidi.Na kwa taarifa yako mashirika mengi ya kimataifa yanahitaji tukope kwao
Anajifanya mwanaharakati wakati yeye ndio beberu nambari wani.
 
Back
Top Bottom