Uchaguzi 2020 EU declaration on the upcoming elections in Tanzania

Makabaila yanapambana kurejesha walivyopoteza na Lisu anatumika kuwasaidia kufanikisha mambo yao.

Alishasema ataweka mali zote rehani ili tupewe hela na wazungu.

Lisu ni way kuogopa kama ukoma.
Lissu aliyemiminiwa risasi zaidi ya 30 ili afe, wewe na mimi tukanyamaza kimya, na hadi leo serikali yetu hata kujaribu kuchunguza tu hapana? Lissu aliyetetea wananchi dhidi ya kampuni za madini kwa zaidi ya miaka kumi wakati wewe na mimi tukicheka nazo?

Lissu aliyelazimika kwenda Ubelgiji kupigania uhai wake, akaadhibiwa zaidi na serikali yetu, wewe na mimi tukakaa kimya? Halafu unasema macho mang'avu kuwa anatumiwa? Kweli, kwa dhati ya akili yako kabisa?
 
Hawa wote watamgeuka mzee wenu Magufuli mpaka mseme...hiiiiiiii

Hawatakagi ujinga hawa. Na huu ndo wakati wao kumnyoosha
 
JIWE hawezi kuelewa hii Ligha.
Aliapa kabisa kuwa "ukinishauri ndio umeharibu kabisa maana sitofanya unacho nishauri".

Jiwe limezoea dhuruma ,ukatili Roho mbaya , wizi , visasi na kila aina ya Ubaya.

MSITEGEMEE KUWA NA UCHAGUZI WENYE UHURU NA HAKI.
 
JIWE hawezi kuelewa hii Ligha.
Aliapa kabisa kuwa "ukinishauri ndio umeharibu kabisa maana sitofanya unacho nishauri".

Jiwe limezoea dhuruma ,ukatili Roho mbaya , wizi , visasi na kila aina ya Ubaya.

MSITEGEMEE KUWA NA UCHAGUZI WENYE UHURU NA HAKI.

Suala ni "haki" katika uchaguzi huu halipaswi kuwa la mzaha.
 
Waanzania tumechoka kiingereza lugha ya mkoloni hicho kiingereza waongee na Lisu wao waliyemtuma yeye ndie anakielewa vizuri na anawaelewa waliomtuma hao waongea kingereza
 
Waweza kusema Lisu ni infantry, US ni neavy, EU ni air force na Amsterdam ni artillery!
 
Waanzania tumechoka kiingereza lugha ya mkoloni hicho kiingereza waongee na Lisu wao waliyemtuma yeye ndie anakielewa vizuri na anawaelewa waliomtuma hao waongea kingereza

Unamaanisha wewe na nani angalau nani unapotumia viambishi wakilishi kama hivi "tumechoka?"

Kumbuka tuko wengi humu na sote si wanufaika wa buku 7 za chakubanga.
 
Ek9UXMxX0AAdIcp.jpeg
 
Ni Jambo la kawaida izi Tahasisi kutoa matamko ya kutaka Amani,Haki na utulivu katika chaguzi za Afrika. Kama Marekani wakitoa tamko ujue waingereza wata fuatia na umoja wa ulaya ni Jambo la kawaida kabisa. Ata wao wameshajua JPM atashinda uchaguzi na Amani na utulivu vitaendelea kuwepo.
 
Wazungu hawaeleweki kamwe, jpm muda wote anawaita mabeberu lakini kila siku wanamwagia mapesa.tupambane na hali zetu
Jumuiya ya kimataifa utumia muda mrefu kuonya, iwapo ikiamua kuchukuwa hatua utaka mambo mengi yarekebishwe kwa mara moja, hapo watawala upata shida sana, matokeo kama vikwazo vitadumu sana hata tukifanya mabadiliko ya uongozi! Tutatambua haki zote hata za mashoga!
Ila yote haya tatizo tume ya uchaguzi na vyombo vya usalama, vyombo hivi si afya kwa taifa!
 
Back
Top Bottom