bahati mbaya
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 578
- 193
kha ina maana atakuwa ameshaliona kwa hyo kakasirika kulikosa au?tatizo lenu wanaume mwanake akiwachamgamkia tu mnamishia fahamu kwenye zipu za sarawili.hivi kweli wanaume ni wa shida to such extent?
Hawachelewi kutangaza kuwa siku hizi nakula mzigo pale, Pengine kasikia unamtangazia vibaya.