Eti wewe ni wa majaribio!?

Eti wewe ni wa majaribio!?

Babkey

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2010
Posts
4,838
Reaction score
3,673
....nasikia hawa wazaliwa wa kwanza wamezaliwa kwa bahati mbaya au wazazi wao walikuwa wanajaribu tu na wengi ni vyanzo vya ndoa baada ya kupata mimba zisizotarajiwa na kulazimika kuishi pamoja...
 
kumbe usemesikia endelea kusikia
 
Una bahati PAW yuko macho, nimeogopa ban, ila jibu ambalo ningekupa ungeridhika nalo na ungejuuta kuanzisha hii mada, napita!
 
...teh...teh..mzaliwa kwanza nini mkuu?
 
Kwa baadhi ya wazaliwa wa kwanza ni kweli, naona watu wanabisha tu, ila sio kila mzaliwa wa kwanza.
 
Back
Top Bottom