Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 41,598 Reaction score 65,049 Thursday at 1:16 PM #1 Sifa kuu za mtu anayeitwa "hamnazo" Mtu anayekuwa mzito wa kuelewa Mtu mwenye tabia za kitoto au kijinga Mtu asiye na umakini Mtu bwege au zuzu Mtu anayetaja taja majina ya watu kwenye nyuzi Mtu anayejipendekeza pendekeza ili aonekane wa maana kuliko wengine. Mtu anayefuatilia maisha ya watu kuliko ya kwake Mtu anayetukana tukana hovyo Je, wewe una sifa hizo, na hapa jukwaani ni wangapi wenye sifa hizo?
Sifa kuu za mtu anayeitwa "hamnazo" Mtu anayekuwa mzito wa kuelewa Mtu mwenye tabia za kitoto au kijinga Mtu asiye na umakini Mtu bwege au zuzu Mtu anayetaja taja majina ya watu kwenye nyuzi Mtu anayejipendekeza pendekeza ili aonekane wa maana kuliko wengine. Mtu anayefuatilia maisha ya watu kuliko ya kwake Mtu anayetukana tukana hovyo Je, wewe una sifa hizo, na hapa jukwaani ni wangapi wenye sifa hizo?
Brelim Skoro_ JF-Expert Member Joined Mar 29, 2014 Posts 15,317 Reaction score 38,103 Thursday at 1:17 PM #2 Jembe na Nyundo huu ndio utambulisho wao.
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 41,598 Reaction score 65,049 Thursday at 1:22 PM Thread starter #3 Brelim Skoro_ said: Jembe na Nyundo huu ndio utambulisho wao. Click to expand... Tuwasubiri waje
Jack Daniel JF-Expert Member Joined Sep 23, 2021 Posts 5,025 Reaction score 19,929 Thursday at 1:25 PM #4 Childish post
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 41,598 Reaction score 65,049 Thursday at 1:30 PM Thread starter #5 Jack Daniel said: Childish post Click to expand... Hamnazo, wanajulikana tu