Eti wazungu wana mapenzi ya dhati kuliko waaafrika, thubutu!

Eti wazungu wana mapenzi ya dhati kuliko waaafrika, thubutu!

hapa mimi ninavyoona ni kujitambua na kujithamini Mwafrika mvumilivu ila anahadaika kiurahisi na pesa hasa wengi wamezaliwa katika familia maskini pia mwafrika anaendeshwa sana na watu kuliko yeye mwenyewe HIZI NI TABIA NA ZIMEKUWA KAWAIDA
 
Tofauti ni kubwa mzungu yuko strait hawana kuyumba ktk maamuz yuko transparent kwako yaan anavyojiskia kwako ndivyo ilivyo no doubt.bongoland mwanamke hajui km anakupenda kwel au vp yaan hajielew n wewe kidume humuelewi dem akisema no ujue ndo yes hyo!!wabongo hatuna mcmamo dem ukiona anakupend unapata advantag y misuse.wazungu hyo never ever forever
 
Back
Top Bottom