Wataalamu fulani walikuwa kwenye kongamano la tabia za watu na mitambo.

Mtoa mada mmoja alisimama kelezea tofauti kati ya mwanamke na simu ya mkononi. Alisema, mwanamke ni kama simu ya mkononi kwa sababu: Inaongea muda wote, ina gharama sana kuitumia, inasumbua wakati mtu akiwa bize na mambo yake, na ukiwa na shida ya dharura unaambiwa hakuna huduma
mna laana nyie, waheshimuni mama zenuWataalamu fulani walikuwa kwenye kongamano la tabia za watu na mitambo.

Mtoa mada mmoja alisimama kelezea tofauti kati ya mwanamke na simu ya mkononi. Alisema, mwanamke ni kama simu ya mkononi kwa sababu: Inaongea muda wote, ina gharama sana kuitumia, inasumbua wakati mtu akiwa bize na mambo yake, na ukiwa na shida ya dharura unaambiwa hakuna huduma
hahahahahaaaa Mpwa bhana mifano yako kama ya mwalimu wa vodafasta (duh, na mimi nimeidhalilisha fani ya mtu) ni mfano tu kumbe! naenda kunywa chai kwanza halafu nifuatilie account yangu NMB, sijui leo ntaipata? nina mwezi wa tatu sasa, hio ATM CARD nadhani itamaliza mwaka kuipata!Acha Jazba kaka......... huo ni mfano tu
hahahahahaaaa Mpwa bhana mifano yako kama ya mwalimu wa vodafasta (duh, na mimi nimeidhalilisha fani ya mtu) ni mfano tu kumbe! naenda kunywa chai kwanza halafu nifuatilie account yangu NMB, sijui leo ntaipata? nina mwezi wa tatu sasa, hio ATM CARD nadhani itamaliza mwaka kuipata!
Saa nyingine watu mnafikiri kusiko kabisa ....... Kwa hiyo hata mama yako unamfananisha na simu ya mkononi? ukijibu tutaendelea