Eti wanawake huwa hawacheat


Cuzzooooo!.....lol!, is this your lane?!....lol!
 
Ndoa za hivi karibuni ndiyo balaa, ndiyo maana nyingi zinavunjika mapema mnoo ukilinganisha na zile za Wazee wetu.

 
Reactions: kui
Hapo kuna ukweli! Taasisi ya ndoa ioneni tu hivi hivi ina mambo mengi! Kuna wale they got married at a very differance age let's say over 20 years differance 40yrs of age (female), and 60 yrs of age (male) mamaaa ndoa inakuwaga chungu hiyo sijawahi ona.wivu mwingi e.t.c.
 
Well mnakumbuka ile point kuwa wengi wanatafuta walichokosa ndoani and merely not only a sexual wise but also other status!

.....Ni kweli mtupu mkuu, but then they always end up going physical!
 
Cuzzooooo!.....lol!, is this your lane?!....lol!

Not really but I done smashed a few like that back in the day though:becky::becky::becky::becky:

Nowadays I'm more into the svelte type....
 
Reactions: kui
Yaani ninavyozidi kufuatilia haya mambo ya ndoa

Ndio maili kati ya akili yangu na suala la ndoa zinavyozidi kuongezeka aiseeee
 
Hiyo age difference ya miaka 20 ni noma...
Hizo ni ndoa za maslai zaidi...mke akipata upenyo tu lazima achiti...maana life begins at 40...

 
Kwani huko mtaani hakuna kuchitiwa...
Usinambie unaogopa ndoa sababu ya cheating....?
Upendi challenge weye...?


Yaani ninavyozidi kufuatilia haya mambo ya ndoa

Ndio maili kati ya akili yangu na suala la ndoa zinavyozidi kuongezeka aiseeee
 
Nilikuwa nacheki movie hapa...kaka anamuuliza dadake kwa nini hana boyfriend...(kaka mtu aliamua kwenda ishi mbali na familia for so long; hivyo karudi ndio anapiga story na dadake) Dada anamuuliza nani kakwambia...anajibu mama...
Eti mdada anasema boyfriend wangu ni professor na ni married man (dada yuko college) sasa unategemea ntam introduce vipi kwa mama...
Anasema always anakuwa attracted na unavailable men...

Hivi kuna haka ka ugonjwa eeehhhh...ka kupenda vya watu?
 
Mahusiano yakienda mrama,bora kila mtu achukue ustaarabu wake.Na ikiwa tu nimeongea nae,nimejaribu kashindwa kubadilika.Ila kucheat sijawah kwa kwel na sitarajii.

Never say never..!!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Kuna watu ukiangalia tu kuanzia id zao hadi comments unajua tu kuna ndoa zipo ICU ila ndio kujifariji.

Kwa mtazamo wangu,
Wakati mwingine cheating inahusika ili kulinda ndoa. Chepuka tu
 
cheating spices up your marriage/relationship. Maana ule ugomvi na mume wa kila siku unapungua au unapotea Kabisa...according to my research (...and I was ze only "sample" 😉&#128521😉
 
ndoa hiziyaani kama tunalazimishiwa
 

Attachments

  • 1418534510365.jpg
    34.8 KB · Views: 131
Kwani huko mtaani hakuna kuchitiwa...
Usinambie unaogopa ndoa sababu ya cheating....?
Upendi challenge weye...?

Mkubwa wangu challenge kwenye maisha yetu ni kama ada and i accept that

Lakini challenge ya mke wangu kugongwa halafu nikajua aiseeeee....................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…