Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,760
Napenda kuuliza ,kwani wengi huona mengi ,hivi wapo wanawake wanaotongoza wanaume ? Mbali na wale machangudoa wa mabarabarani nazungumzia wanawake wakwaida ambao huwa wanajiheshimu ,na huweza kufananisha na wanaume kwa uwepo wa utongozaji ndani ya nafsi zao na kuweza kutongoza ,pengine kumvizia jamaa njiani au uchochoroni na kumpa maneno au pengine ofisini ,hivi wnawake huwaga nao wanatongoza ,kivipi ?
Umewahi kukutana nao au yamewahi kukutokea au kukuta !!! :A S 39:
Umewahi kukutana nao au yamewahi kukutokea au kukuta !!! :A S 39: