EvilSpirit JF-Expert Member Joined Jun 15, 2017 Posts 13,278 Reaction score 20,896 Aug 27, 2023 #21 Si mnatakaga wanaume wenye hela sasa mmewapata mnaanza kulialia stupid atulie tu kazi yake iwe kubinuliwa
Si mnatakaga wanaume wenye hela sasa mmewapata mnaanza kulialia stupid atulie tu kazi yake iwe kubinuliwa
Unique Flower JF-Expert Member Joined Apr 19, 2019 Posts 12,841 Reaction score 25,359 Aug 27, 2023 Thread starter #22 To yeye said: Ni kweli..... lakini ukipata ndoa tulivu ni Bora kutulia umsikilize mume Click to expand... Ni kweli so utaacha ualimu
To yeye said: Ni kweli..... lakini ukipata ndoa tulivu ni Bora kutulia umsikilize mume Click to expand... Ni kweli so utaacha ualimu
E elijaah JF-Expert Member Joined Jul 13, 2023 Posts 1,328 Reaction score 2,831 Aug 27, 2023 #23 Mbona iyo ni kawaida san kwa Zanzibar mwanamke haendi ata sokon ni kukaa ndan tu bas na kumuhudumia mumewe
Mbona iyo ni kawaida san kwa Zanzibar mwanamke haendi ata sokon ni kukaa ndan tu bas na kumuhudumia mumewe
Unique Flower JF-Expert Member Joined Apr 19, 2019 Posts 12,841 Reaction score 25,359 Aug 27, 2023 Thread starter #24 elijaah said: Mbona iyo ni kawaida san kwa Zanzibar mwanamke haendi ata sokon ni kukaa ndan tu bas na kumuhudumia mumewe Click to expand... Bila ushuru sikai
elijaah said: Mbona iyo ni kawaida san kwa Zanzibar mwanamke haendi ata sokon ni kukaa ndan tu bas na kumuhudumia mumewe Click to expand... Bila ushuru sikai
Be calm JF-Expert Member Joined May 20, 2023 Posts 3,793 Reaction score 9,072 Aug 27, 2023 #25 Ndoa njema ni uvumilivu tu
Be calm JF-Expert Member Joined May 20, 2023 Posts 3,793 Reaction score 9,072 Aug 27, 2023 #26 elijaah said: Mbona iyo ni kawaida san kwa Zanzibar mwanamke haendi ata sokon ni kukaa ndan tu bas na kumuhudumia mumewe Click to expand... Kabisa mkuu....na ndiyo ukweli
elijaah said: Mbona iyo ni kawaida san kwa Zanzibar mwanamke haendi ata sokon ni kukaa ndan tu bas na kumuhudumia mumewe Click to expand... Kabisa mkuu....na ndiyo ukweli
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 61,103 Reaction score 124,662 Aug 27, 2023 #27 It's all good mpaka pale itakapotokea mwanaume akatangulia mbele yaki ndio utajua hujui
A annatee JF-Expert Member Joined Aug 15, 2021 Posts 1,350 Reaction score 2,580 Aug 27, 2023 #28 Usijaribu hii kitu haijalishi mtu ana hela kiasi gani shughulika/save hela haya maisha hayatabiriki.Maana kuna kifo/kuanguka kiuchumi/kutibuana hivyo ni vyema kujishughulisha
Usijaribu hii kitu haijalishi mtu ana hela kiasi gani shughulika/save hela haya maisha hayatabiriki.Maana kuna kifo/kuanguka kiuchumi/kutibuana hivyo ni vyema kujishughulisha
Beesmom JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 37,436 Reaction score 92,227 Aug 27, 2023 #29 Unique Flower said: Ni kweli so utaacha ualimu Click to expand... Kabisa kabisa cute