Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,359
Mwambie akuacheNa rafiki yangu, kapata mume wa ndoa anahela sana tu ila hataki mke wake atoke home, awe na biashara yeyote . Anataka tu awe home.
Hela yeyote anampa akitaka muda wowote anapelekwa atakapo kama kurelax sehemu mbali mbali. Ila sio biashara .
Je nyie mtakubali???
Usiwe hata na muda wakuwa na mashosti, wala kuwa na lolote kimaisha . Maana kama huna hazina yeyote simbaya .
Shida akimwambia hiyo point anampeleka safari akaone watu wengi tofauti kwa wiki kadhaa anarudiMaisha siyo pesa tu. Huyo mwambieni kwamba "human is a social being". Bila kujichanyanya na watu ujue wewe na na mnyama aitwaye nguchiro tofauti ni makazi tu.
Hii ni akiliMimi sio mwanamke lakn ntakushauri hili
Kama anapewa hela kila anapotaka, asibweteke, akusanye za kutosha afiche kwenye akaunt kama hawa wanasiasa wanavoficha hela ughaibuni. Siku kikumana tayari ana kianzio.
Maana kama haruhusiwi kufanya biashara then hyo ndo kwe biznez yake. Akizubaa akawa anafurahia maokoto ataachwa uchi sokoni.
Nawewe atakuweka ndani na utakuwa wife number 2 anajua shawishi ila wewe ni rangi gani ??Hapana sio sawa....nipe no ya shemeji yako nimkanye hii tabia sio nzuri
KweliMfano wa kweli, kuna jirani aliyeishi hayo maisha ghafla bwana akafariki. Anavyoteseka sasa usiombe. Mwanamke angalau ujishuhulishe na mambo ya uchumi, usimtegemee bwana kwa kila kitu. Mwanamke uwe na haya mawazo, ila sio mabaya kwa mumeo! " hivi ghafla bwana hayupo, nitaendeshaje maisha?". Anza Leo, usisubiri litokee.
Hapo kwenye rangi sasaNawewe atakuweka ndani na utakuwa wife number 2 anajua shawishi ila wewe ni rangi gani ??
Mashosti wa ni nini cute wangu?Usiwe hata na muda wakuwa na mashosti, wala kuwa na lolote kimaisha . Maana kama huna hazina yeyote simbaya .
Ila ukipata pesa siunawekeza lazimaMashosti wa ni nini cute wangu?
Biashara ya ni Nini na unapewa kilakitu?
Lolote kimaisha ndiyo hiyo ndoa yako,wanao basss
Ni kweli..... lakini ukipata ndoa tulivu ni Bora kutulia umsikilize mumeIla ukipata pesa siunawekeza lazima