Eti wanafaidikaje na hii mitandao?

Eti wanafaidikaje na hii mitandao?

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,303
eti wadau, mtu ukiwa unamiliki website au blog unafaidika na matangazo ya biashara yanayowekwa, au kama kuna nyingine, asa kuna mitandao kama youtube, wikipedia, google, facebook ambayo ni poular sana , wamiliki wake wanafaidikaje nayo
 
mkuu wikipedia mtoe huyo hayupo profit oriented ila hawa jamaa wawili
-facebook
-google

waogope sana hao mkuu wanaingiza profit kubwa sana kwa ajili ya matangazo.

Wanatumia njia zote za haki na ambazo haziruhusiwa kupata hela.

Hawa jamaa hela zao nyingi zinatokana na kuuza information zako wewe kama mtumiaji wa bidhaa zao kwenye makampuni yanayotangaza bidhaa.

Mfano una email ya gmail ya google then rafki yako anakwambia anaumwa na dawa anazotumia ni xxxxxx maneno haya anakwambia kwa kutumia email kwenye gmail, basi hapo hapo unaweza ukaona tangazo la dawa xxxxxx kwenye browser yako. Hii ina maana wanachukua info zako.
 
da hata mimi hili suala kwa mda mrefu sana huwa najiuliza mwenyewe na hua sipati jibu ila mkuu. chief- mkwawa
kidogo amejaribu kutueleza wana jf kama kuna yeyote tena atuelezee kwa urefu zaidi ili tupate faida zaidi ya kujua.
chiefief-mkwawa
 
wakuu mbona hakuna response?
 
Back
Top Bottom