Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,315
- 28,596
Sio wanawake tu
Mbona mm nimelalamikiwa na mwanaume kuwa nilimpotezea mda wake
kauli hii ina ukweli fulani: Mfano Sababu ulizotoa wakati unamtongoza na ahadi kem kem.Kuna hii dhana ambayo wanayo akina dada wengi hasa baada ya kuishi nae ktk muda mfupi pengine mwaka mmoja na nusu,mambo yakaja kuharibika kutokana na maswahiba mbalimbali ya kidunia basi wakati mvurugano unaendelea kupata kasi "wanawake hukimbilia kauli ya najuta umenipotezea muda wangu"
je kwa sisi wanaume huwa hatuna swala la kupoteza muda kiasi kwamba kilio kiwe kwa akina dada pekee?
kauli hii ina ukweli fulani: Mfano Sababu ulizotoa wakati unamtongoza na ahadi kem kem.
ukizingatia Mwanamke maranyingi zaidi anasubiri kutong*zwa. wakati mwanamume ndiye anatong*za kwa ujumla wake. Mwanamke anaweza kuwa amewapiga chini watu kibao kwaajili yako. So siku unampiga chini anajikuta anajutia Muda wake kwa wale waliomshawishi akawatosa kwaajili yako.Pengine angewakubali angeshapiga Hatua kuliko kuwa na wewe..
Mi ni mdhungu pia.. ha ha haYaonesha huyo mzungu kwenye avatar yako unampenda sana...vp wampa vitu au
kauli hii ina ukweli fulani: Mfano Sababu ulizotoa wakati unamtongoza na ahadi kem kem.
ukizingatia Mwanamke maranyingi zaidi anasubiri kutong*zwa. wakati mwanamume ndiye anatong*za kwa ujumla wake. Mwanamke anaweza kuwa amewapiga chini watu kibao kwaajili yako. So siku unampiga chini anajikuta anajutia Muda wake kwa wale waliomshawishi akawatosa kwaajili yako.Pengine angewakubali angeshapiga Hatua kuliko kuwa na wewe..
kwa nyie wanaume hamjapoteza mda kwasababu ninyi ni watafutaji na siaia ni watafutwa kwa mantiki hiyo wakati naftafutwa nilikataa kwa kigezo nipo na wewe alafu then unaniacha kumbe umeshatafuta mtu mwingine... na mimi nazidi kukataa application