Seif al Islam
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 2,156
- 640
Ndugu zangu naomba kueleweshwa kidogo kama kuna madhara yoyote kwa mtu anayekula rambirambi? Maana wapo vijana wanasema eti ukila rambirambi unakufa.
Sasa mbona hatar sana. Duuuuuuu itakuwaje sasaNdio
.....Hata kama hutakula UTAKUFA tu.
Sasa sijajua una maana gani!
Kifo cha mwendokasHata kama hutakula UTAKUFA tu.
Sasa sijajua una maana gani!
Nimewaza nje ya box aiseeee......[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndugu zangu naomba kueleweshwa kidogo kama kuna madhara yoyote kwa mtu anayekula rambirambi? Maana wapo vijana wanasema eti ukila rambirambi unakufa.
Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu......Hatafanikiwa kamwe