1. Ukimsomesha Mchumba wako(Mwanamke), huta muoa. Akifika Chuo kikuu anachagua Mwanamme Mwingine.
2. Hata ukimsomesha Mkeo, akipata elimu atakufanyia vituko muacheni atafute Mume Mwengine.
3. Ukitaka kuoa Mwanamke msomi, Oa mwanamke alie someshwa na Wazazi wake.

Sio kweli ni imani potofu tuu...
dah watu man strategy balaaa nimekunawia mikono….Kabla hujaamua kumsomesha chuo kikuu hakikisha anakuzalia mtoto kwanza ili hata akipindua baadae,gharama ulizotumia na elimu aloipata itakua ni msaada Kwa huyo mwanenu.
Kabla hujaamua kumsomesha chuo kikuu hakikisha anakuzalia mtoto kwanza ili hata akipindua baadae,gharama ulizotumia na elimu aloipata itakua ni msaada Kwa huyo mwanenu.