Eti uchumi umepanda kwa 7%

NCHABIRONDA

JF-Expert Member
Jun 6, 2011
288
101
Mara nyingi kila ukisikia mojawapo ya hotuba za Jk anasema kwamba" namnukuu: Tanzania ni moja wapo ya nchi ambazo uchumi wake unapanda kwa kasi sana! Mwisho wa kumnukuu. Kila siku najaribu kutafakari usemi huu kwani sina uhakika kama Jk anaifahamu vizuri Tanzania anayoiongoza. Ametumia vigezo gani mpaka adai eti uchumi wetu umepanda kwa 7%? Nawaombeni wana Jf ambao wanautalaam wa mambo ya uchumi wanisaidie kwa hili.
 
<BR><BR>kwani we ulitegemea uchumi wa kukua kwa 7% utaona mabadiliko gani?kwangu bado ni ndogo&nbsp; ukilinginisha na malengo ya kufikia vision 2025,kumbuka uchumi wetu bado ni mdogo sana so&nbsp;7% ya uchumi mdogo&nbsp;inaweza isiwe significant sana kama unavyohisi.labda utuambie we ulikuwa unategemea kuona nini kwa ukuaji wa&nbsp;7% ?&nbsp;
 
&lt;BR&gt;&lt;BR&gt;kwani we ulitegemea uchumi wa kukua kwa 7% utaona mabadiliko gani?kwangu bado ni ndogo&amp;nbsp; ukilinginisha na malengo ya kufikia vision 2025,kumbuka uchumi wetu bado ni mdogo sana so&amp;nbsp;7% ya uchumi mdogo&amp;nbsp;inaweza isiwe significant sana kama unavyohisi.labda utuambie we ulikuwa unategemea kuona nini kwa ukuaji wa&amp;nbsp;7% ?&amp;nbsp;
<br />
<br />
hata mimi najua kabisa 7% ni ndogo sana kiasi kwamba haiwezi kuleta mabadiriko yoyote. Lakini kinachonishangaza ni huyu Jk anapoamua kuutangazia umma akidai kwamba Tanzania ni mojawapo kati ya nchi ambazo uchumi wake unakua kwa kasi sana.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom