Hawa wamikoani wanayltaka tuishi vipi sasa mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23] kwahyo ss badala ya kufanya party wewe siku yako ya kuzaliwa unaitumia kwa kufanya usafi wa mji mzima wewe na familia yako au sio!Mimi ni wa dar,ila tuwe wakweli nakereka sana,
Mwanaume unaandaje sherehe watu waje wakuimbie bana!!!,maana mimi kwa akili zangu ilibidi demu wangu aulize kwanza"mkorinto vip keki baby"nikamwambia kwakweli sitaki mambo ya kike,ikariri tu hiyo tarehe nitakwambia cha kufanya siku hiyo.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji41][emoji41][emoji41]View attachment 895787
Hivi tumewakosea nini jamani si mtuache
[emoji41][emoji41][emoji41]View attachment 895787
Hivi tumewakosea nini jamani si mtuache