Eti Tinted Kwenye Magari ni Umalaya?

Eti Tinted Kwenye Magari ni Umalaya?

Hahaha!
Mamushka for Pako!
Gari yetu iwe tinted bana, usisikilize maneno ya watu.
Yani Mamushka anataka kumshum Pako wake mpaka kila mtu aone? No Way!

who is against tinted??? shida zao!!! am for tinted bwana!!!

BTW: mi ntakuwa kule jimboni kwa mgombea ubunge, next to NEXT LEVEL!!! Please.....may I???
 
who is against tinted??? shida zao!!! am for tinted bwana!!!

BTW: mi ntakuwa kule jimboni kwa mgombea ubunge, next to NEXT LEVEL!!! Please.....may I???

Sure! Go ahead!
 
Wakuu kabla hatujazihukumu tinted tukumbuke pia zinatofautiana.
Kuna zile tinted "full" yaani vioo vyote hadi cha dereva kinaachwa 1/3 tu! Halafu kuna zile tinted ambazo baadhi ya magari yanakuja nazo zinakua wazi vioo vya mbele na tinted vioo vya nyuma.
Mimi binafsi sioni tatizo na aina ya pili ya tinted kwa sababu zinasaidia usalama kama umeweka laptop siti ya nyuma vibaka hawawezi kuiona.

Umalaya ni tabia ya mtu na kibaya zaidi siyo kufanyia kwenye gari yenye tinted ila ni hiyo dharau anayokua amemuonyesha huyo anayefanya nae mapenzi kwenye gari.
 
Swadakta kwa nn uweke tinted kwenye gari? Unamwogopa nani kama gari lako umepata kihalali na unamiliki kihalali unamwogopa nani? Si unaona gari zote za serikali hazina tinted.
Kweli tinted iwa zinaficha maovu tena mno utaona gari limepaki linatikisika utafikiri labda linataka kuondoka au kurudi nyuma kumbe lipo tu kimyaa ila linatikisika kama Idd Amin Dada style duh mtaconnect dot....hapo na ndo njia nzuri kubebea wake za watu.

mhhh kaka yale ma NISSAN SAFARI ya JK yana tinted...
 
Umalaya ni hulka ya mtu tu na wala haina uhusiano na tinted kwenye gari, wapo ambao gari zao hazina tinted na wanapakia mizigo kama kawa na wapo wale wenye tinted ambao ni wastaarabu na sifa hiyo hawana.
 
.......Gari ikiwa na tinted wala sio umalaya, hata mie mwenyewe napenda gari iwe na tinted kwa usalama na privacy.
 
Ha!!! mimi nikiwa TZ gari yangu nimeweka Tinted sasa na do mchana si unajua madem wa bongo kwa kuchobokea lift tena gari ina A/C akipanda ukiweka msimbazi wawili juu anajiachia unakula mzigo kisha anatambaa zake na msimbazi wawili basi hiyo raha mtu yoyote ukimtaka unakula unampa lift si unajua shida ya magari hata ukitaka kident cha sekondari hata primari unakula sasa unaona watu wanafaudu uhondo nawewe weka!!


Una pepo weye sio bure!

Mpaka watoto wa msingi; hivi ujue nawe wa kwako watafanyiziwa the same!
 
Tinted ni ishara tosha kwamba kuna bizness ya ziada inaendelea humo zaidi tu ya kusafiri.
 
Back
Top Bottom