The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,247
- Thread starter
- #21
<br />Best ushauri wangu go 4 her'usimuache kama kwel mnapenda hata wazaz dunia zima ukikutenga ww simama imara sijui tatzo la wachaga wanawake'bt mmi mchaga mama na baba wote'navyokuambia hakuna wanawake wachakarikaji kama wachaga'hakuna binadamu asiye na matatzo wote tuna matatzo lakin kwa kukaa na kujua tatzo la mtu na kulisolve ndo the best way usimuache mpaka kuambia kwa sababu gan?
<br />
ahsante mkuu,
naomba niweke wazi sababu wanazozitoa wazaz,ndugu jamaa na marafiki.
1.sio mvumilivu ktk ndoa,pesa ikikatika humuoni tena.
2.anahamishia familia kilimanjaro na hasa watoto(wanakua close kwa wajomba kuliko baba wadogo na shangaz)
3.anashawish kujenga kwao na kipaumbele ni kuwapendelea ndugu zake zaidi.
4.mwanaume ukifa na ndoa ndo imekufa na hata wanao utawasikia tu huko rombo,tarakea,marangu nk.
5.hupenda kuwa final say kwnye mambo ya kifamilia wkt inatambulika wazi kuwa mwanaume ndo head of the family.
NB.wanatoa mifano mingi ya ndugu waliooa huko na yakawakuta mambo hayo,na ni kweli hata mimi ninashuhudia hali halisi.