Eti Tanzania Vs Zanzibar inahusu😕😕😕

Eti Tanzania Vs Zanzibar inahusu😕😕😕

TikTok2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2022
Posts
1,814
Reaction score
3,155
Hivi huu mfananisho una tija gani?

Yani mnataka Tanzania ikubali mkataba mbovu wa uwekezaji kwa sababu Zanzibar wamewekeza🤷🤷🤷

Nchi ya watu zaidi ya million 60 iige yanayofanywa kwenye kisiwa cha watu milioni 1?

Hii ni aibu
IMG-20230919-WA0005.jpg
 
Back
Top Bottom