Ni kweli ila wengi wenu kwa humu Jf mpo hivyo mkuu.Tabia ya mtu mmoja isikufanye utujumuishe wote tusiomani, kwa mfano nikiona mtu mmoja anayeamini ni mjinga haimaanishi wote mnaoamini ni wajinga.
Aisee hongera sana kama humpendi shetaniNi kweli kabisa shetani huwa anawapitia watu kwenda kutenda dhambi, hafai kabisa shetani, ndo maana mie huwa simpendi, na ananiogopa mbaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sijui kwa nini, hebu niambie nijue?Sina Giza wala ukungu. Niko vizuri.
Kwa sababu, nimesema dini zote ni uchwara na uongo!? Kama, hujui basi tafiti chanzo cha hizo dini.
Nikuulize swali hil, Je, unajua ni kwa nini Roman Catholic Church, wanazika wafu kanisani !?
Yaani, kama pale Arusha waliopigwa bomu walizikwa pale kanisani unajua sababu !?
Kwani Utanzania ni dini? hebu eleweka vizuriWakristo wako Israel hiyo dini ni ya huko.
Kwa hiyo, Mimi ni Mtanzania zaidi ya hapo hapana.
Kabisa mkuu, maana bila urafiki nae atakupitiaje sasa!!Mtu akisema kuwa shetan kampitia ujue ana urafiki nae ndo mana kapitiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaosema nadhani nao huwa wanatafuta pa kusingizia tu, Maana Mungu huwa ni mwema kila wakati.sasa mbona wanasema ukipata shida ni mitihani ya Mungu
Sina hakika kama umeshaongea nao wote waliomo humu,wapo wengi na wengine huwa hawabishani kabisa, so don't generalize bro.Ni kweli ila wengi wenu kwa humu Jf mpo hivyo mkuu.
Kweli aseeEti shetani kanipitia, ni mawazo yako tu unapofikiria ubaya ndio shetani na wema ni Mungu. Shetani hakupitii ila wewe umejipitia mwenyewe. Ni vitu vya kufikirika kwani shetani hajawahi kuonekana wala Mungu. Pambana na vitu vinavyoonekana ujue kutenganisha kati ya jema na baya. Usimtendee binadamu mwenzako kitu ambacho hutaki utendewe, ishi na imani hiyo tu inatosha vingine vyote ni ziada
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesema wengi(sio wote) kwa makisio ya wale wenye kubishana humu.Sina hakika kama umeshaongea nao wote waliomo humu,wapo wengi na wengine huwa hawabishani kabisa, so don't generalize bro.
Unawezaje kujua jema na baya? maana binaadamu tunatofautiana jambo baya kwako ila kwangu mie naweza kuona la kawaida tu.Eti shetani kanipitia, ni mawazo yako tu unapofikiria ubaya ndio shetani na wema ni Mungu. Shetani hakupitii ila wewe umejipitia mwenyewe. Ni vitu vya kufikirika kwani shetani hajawahi kuonekana wala Mungu. Pambana na vitu vinavyoonekana ujue kutenganisha kati ya jema na baya. Usimtendee binadamu mwenzako kitu ambacho hutaki utendewe, ishi na imani hiyo tu inatosha vingine vyote ni ziada
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi huyo shetani ni kiumbe kimoja au wapo wengi? Maana dunia ina watu takribani 7.5 billion, embu niambie huyo shetani anawezaje kuwahadaa watu wengi kwa wakati mmoja?Ni kweli kabisa shetani huwa anawapitia watu kwenda kutenda dhambi, hafai kabisa shetani, ndo maana mie huwa simpendi, na ananiogopa mbaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakumbuka darasa la sita tulijifunza topiki ya umisionari na kazi yake ilikuwa ni kusambaza dini zaoMleta mada anataka kujua kupitiwa na shetani hasa ndiyo inakuaje? sidhani kama kataka kujua nani aliyemtengeneza shetani,hata jambo la uongo pia lina elezwa na mtu anaelewa ila wewe unaona habari za shetani ni uongo ila hujui ni vp maana ya mtu kupitiwa na shetani na pengine ndiyo maana huwezi kuelezea.
Halafu pia mkuu sasa kama hizo dini ni za wazungu na waarabu ilikuwaje zikawepo mataifa mengine wasio wazungu wala waarabu?