Eti polisi hawagomi !!!

Eti polisi hawagomi !!!

AK-47

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2009
Posts
1,373
Reaction score
202
[h=1]Brazil police-army stand-off amid talks to end strike[/h]Brazilian troops are continuing to surround the state legislature in Bahia, which some 300 police officers have occupied for the past week in a pay dispute.

Bahia Governor Jacques Wagner told local media that a negotiated end to the crisis was in sight.
The strike has led to a spike in crime in Bahia, including a big jump in murders in the capital, Salvador.
Salvador is one of the venues for the football World Cup in 2014.
The Bahia government says about one third of the 30,000 state police officers are involved in the industrial action for better pay and working conditions.

Source bbc
 
Bora usiwashtuwe. Siku wakigoma ujuwe tumeangamia. Bora waendelee hivyo hivyo kutuomba rushwa lakin angalau 25% ya kazi yao inafanyika. Mijambazi iliyo jaa hapa TZ na nchi za jirani yoooote yatatufanyizia bara bara. Lakin uliunganisha vipi na wa huko Bahia?
 
Bora usiwashtuwe. Siku wakigoma ujuwe tumeangamia. Bora waendelee hivyo hivyo kutuomba rushwa lakin angalau 25% ya kazi yao inafanyika. Mijambazi iliyo jaa hapa TZ na nchi za jirani yoooote yatatufanyizia bara bara. Lakin uliunganisha vipi na wa huko Bahia?

Kugoma kunawahusu wale wako kwa trade unions...So Tanzania hawako ila nchi kama Africakusini wako na huko wanagoma..Maana ukiwa kwa trade union una haki ya kumgomea mwajili wako...Hukumbuki hata South Africa askari jeshi wapya waligoma kushinikiza malipo yao na wakavamia ofisi ya rais! Ilikuwa kimbembe kweli...Sa kuna kipindi kina Mgaya wa TUCTA walikuwa na mazungumzo na majeshi kuona ni namna gani nao wanaweza kujoin hizo trade unions but wakuu wa majeshi walisita juu ya hilo...
 
Back
Top Bottom