Eti nyani wake ameota manyoya. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eti nyani wake ameota manyoya.

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Jaguar, May 31, 2012.

 1. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Binti mmoja alipokuwa akioga bafuni aligundua kwamba ameota vinywele sehemu sehemu.Basi yule binti akatoka mbio kwenda kumwambia mama yake kuhusu pu*sy yake ilivyoota nywele. Mama yake akamwambia siku nyingine asitumie jina lile i.e pu*sy na badala yake aseme nyani wake ameota nywele.Basi yule binti akaenda kumhadithia dada yake kama ifuatavyo,"dada,mwenzio nyani wangu ameota nywele".Dada naye akamjibu,"kha,we unamsifia nyani wako kuota nywele!mbona wangu alishaanza kula NDIZI za saizi mbali mbali toka kitambo.
   
 2. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,156
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  dah! Nimeipenda hii
   
 3. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Safi sana.
   
 4. s

  statum New Member

  #4
  May 31, 2012
  Joined: May 31, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  daahh!!! cpati picha binti iliifikiriaje ndizi kwa mara ya kwanza
   
 5. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #5
  May 31, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Khaaaa,huyo mama anawafundisha watoto misamiati kweli
   
 6. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #6
  Jun 1, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  yah!,sio watoto wanaropoka ropoka maneno yasiyo na staha mbele za watu.
   
 7. M

  Mashroud Member

  #7
  Jun 1, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mmm. Dunia.!
   
 8. S

  Shiwawa Member

  #8
  Jun 1, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kaka umetisha
   
Loading...