Duniani kuna mambo ,japo kwa wengine inawezekana kabisa ni kawaida ,nimekutana na kimbwanga shangingi la kweli nimelipenda ile mbovu ,na tumeendelea na mapenzi na mambo mengi tu tumefanyiana ,ila jana kanishukia na viwembe na zana za kunyolea anambia nimyonyoe kwenye sehemu zile ,kwanza nilizani utani,kumbe kakusudia kikweli yaani mwisho ilikuwa kero kama za muungano ,madai yake hayaishi na vikolombwezo kibao,sijui haya ndio mapenzi,watu wakipendana hufanyiana mambo haya ,kwa ufupi nilishikwa na tumbo la kuendesha hapo hapo na kichwa kuniuma nikampa ahadi siku nyingine ,kwani kwani sijisikii vizuri ,nikaondoka hata nyuma sikutazama ,aloo mademu wengine wana visa.
Mbio zangu zote nakimbilia hapa kupata ushauri na maelekezo ,hivi haya mambo yapo ? Ila kwa mimi sizani kama ataniona tena bora anione mshamba ,duh ! Mpaka sasa hivi akili yangu haijakaa sawa ,ama kweli duniani kuna watu na majini nafikiri ni jini huyu !
Kunyoa tu unashindwa je kuisugua unaweza???
Bado sijawowah natumia ujana kwanza,ila kama nimeoa akiniletea hizo ,nitamwambia atumie lighter ile ya kuwashia sigara ! Na nimepata dawa mwache aje ,namuekea lighter tu ,nyika nzima itateketea .
Akiambiwa aende chumvini atakuwa maiti
Teh teh teh teh pengine angekuja mbio akatuambia ametukanwa
jamaniiiiii acha ushamba wewe kwani kumnyoa mpenzi wako ni ajabu???? ngoja nikuulize swali la kizushi. ina maana wife akiwa na mimba kubwa let us say ya miezi na kuendelea hutamnyoa? jamaniii kweli ndio maana siku hizi wameanzisha "bag party"Duniani kuna mambo ,japo kwa wengine inawezekana kabisa ni kawaida ,nimekutana na kimbwanga shangingi la kweli nimelipenda ile mbovu ,na tumeendelea na mapenzi na mambo mengi tu tumefanyiana ,ila jana kanishukia na viwembe na zana za kunyolea anambia nimyonyoe kwenye sehemu zile ,kwanza nilizani utani,kumbe kakusudia kikweli yaani mwisho ilikuwa kero kama za muungano ,madai yake hayaishi na vikolombwezo kibao,sijui haya ndio mapenzi,watu wakipendana hufanyiana mambo haya ,kwa ufupi nilishikwa na tumbo la kuendesha hapo hapo na kichwa kuniuma nikampa ahadi siku nyingine ,kwani kwani sijisikii vizuri ,nikaondoka hata nyuma sikutazama ,aloo mademu wengine wana visa.
Mbio zangu zote nakimbilia hapa kupata ushauri na maelekezo ,hivi haya mambo yapo ? Ila kwa mimi sizani kama ataniona tena bora anione mshamba ,duh ! Mpaka sasa hivi akili yangu haijakaa sawa ,ama kweli duniani kuna watu na majini nafikiri ni jini huyu !