Eti nimnyoe

Eti nimnyoe

nywele za kichwan,kwapani na hizo.. zinatofaut gan?
kwel nawasi wasi na umri wako
 
Duniani kuna mambo ,japo kwa wengine inawezekana kabisa ni kawaida, nimekutana na kimbwanga shangingi la kweli nimelipenda ile mbovu na tumeendelea na mapenzi na mambo mengi tu tumefanyiana, ila jana kanishukia na viwembe na zana za kunyolea anambia nimyonyoe kwenye sehemu zile ,kwanza nilizani utani.

Kumbe kakusudia kikweli yaani mwisho ilikuwa kero kama za muungano, madai yake hayaishi na vikolombwezo kibao, sijui haya ndio mapenzi, watu wakipendana hufanyiana mambo haya ,kwa ufupi nilishikwa na tumbo la kuendesha hapo hapo na kichwa kuniuma nikampa ahadi siku nyingine ,kwani kwani sijisikii vizuri ,nikaondoka hata nyuma sikutazama, aloo mademu wengine wana visa.

Mbio zangu zote nakimbilia hapa kupata ushauri na maelekezo ,hivi haya mambo yapo ? Ila kwa mimi sizani kama ataniona tena bora anione mshamba ,duh ! Mpaka sasa hivi akili yangu haijakaa sawa ,ama kweli duniani kuna watu na majini nafikiri ni jini huyu.

Mbona wakati wa ku-do hupati tumbo la kuharisha.
Ukipenda boga boga penda na ua lake
 
Nimecheka sn et kero kama za muungano daaaa jf!!!!!!
 
Back
Top Bottom