Eti nimnyoe

Eti nimnyoe

Mnzania wuwongo ,yamenikuta ! yaani najiona kama ninae ota vile,inawezekana mambo yapo labda kwangu mageni ,halafu halafu hana msitu ana jungle ,sijui ndio kakusudia anikomesha ,dah,mwanamke anavisa yule ,nimnyowe ,nna wazimu ? sijui kaona wapi ? Au haya mambo yapo,msinifiche ,ivi nyie mabro mmewahi kunyoa na akina dada mmewahi hii kitu kufanziwah ?

Ni PM namba yake nimnyoe.
 
ni kawaida sana, sielewi kwanini unaona ajabu.. inamaana we mkeo akiwa mjamzito kiasi kwamba hawezi kujinyoa, huwezi kumsaidia??? ni kawaida kaka angu.
 
Tunakuitaga mburula...sasa nakumuingizia dudu uje uulize huku..

ikibidi nitaulizia kila kitu na ufundi wake,binadamu si kuku kama mpaka wafukuzane,kuna mikao,mitindo yote ni elimu vinginevyo itakuwa ni kubakana ! Naweza kuuliza mkao gani au style za kufikishana kileleni ni zipi kama mna haraka pengine mmekutana jikoni / Au hazipo ?
 
ni kawaida sana, sielewi kwanini unaona ajabu.. inamaana we mkeo akiwa mjamzito kiasi kwamba hawezi kujinyoa, huwezi kumsaidia??? ni kawaida kaka angu.

Bado sijawowah natumia ujana kwanza,ila kama nimeoa akiniletea hizo ,nitamwambia atumie lighter ile ya kuwashia sigara ! Na nimepata dawa mwache aje ,namuekea lighter tu ,nyika nzima itateketea .
 
Duniani kuna mambo ,japo kwa wengine inawezekana kabisa ni kawaida ,nimekutana na kimbwanga shangingi la kweli nimelipenda ile mbovu ,na tumeendelea na mapenzi na mambo mengi tu tumefanyiana ,ila jana kanishukia na viwembe na zana za kunyolea anambia nimyonyoe kwenye sehemu zile ,kwanza nilizani utani,kumbe kakusudia kikweli yaani mwisho ilikuwa kero kama za muungano ,madai yake hayaishi na vikolombwezo kibao,sijui haya ndio mapenzi,watu wakipendana hufanyiana mambo haya ,kwa ufupi nilishikwa na tumbo la kuendesha hapo hapo na kichwa kuniuma nikampa ahadi siku nyingine ,kwani kwani sijisikii vizuri ,nikaondoka hata nyuma sikutazama ,aloo mademu wengine wana visa.

Mbio zangu zote nakimbilia hapa kupata ushauri na maelekezo ,hivi haya mambo yapo ? Ila kwa mimi sizani kama ataniona tena bora anione mshamba ,duh ! Mpaka sasa hivi akili yangu haijakaa sawa ,ama kweli duniani kuna watu na majini nafikiri ni jini huyu !

Mkuu una umri gan?kunyoa tu unakimbia ,ukiambiwa uzame chumvini si ndo utahara na kutapika nyongo....,bila shaka ni uongo!!!
 
nimeshacheka ngoja nikalale. usiku mwema jamani.
 
Ni PM namba yake nimnyoe.

Big_Main_1657887a_1658235a.jpg
 
Pesa zake unataka, Sasa unakimbia kazi yako, Rudi kamnyoe....
 
Mkuu una umri gan?kunyoa tu unakimbia ,ukiambiwa uzame chumvini si ndo utahara na kutapika nyongo....,bila shaka ni uongo!!!

Huko chunvini ndio sikukaribii kabisa,hivi kuna raha gani huko chunvini,unaweza kuielezea ,au mnatawaliwa na kasumba tu,nakumbuka nikiwa na umri wa kama miaka 18 nilijaribu ,mbona nilitoka mapele mdomo mzima,ajabu ,shule watu wakiniuliza umezamia chunvini nini ?
 
Ndio yapo sana tena….ni kawaida kwa wapendanao….sijui we mshamba wa wapi!!! teh teh teh

Ndio nimesema hivyo kuwa inaweza kuwa ni jambo la kawaida,ila kwangu ni geni ,umeona eeh ! Hivi nikuulize hapahapa ,wewe ushawahi kunyolewa ?
 
Ndio nimesema hivyo kuwa inaweza kuwa ni jambo la kawaida,ila kwangu ni geni ,umeona eeh ! Hivi nikuulize hapahapa ,wewe ushawahi kunyolewa ?

sisemi mambo yangu ya private kwenye hadhira!kama nimenyolewa au la ni siri yangu lkn ww usiyejua ndo ujue hakuna laajabu hapo!
 
Mbulula wewe nyie ndio mkipewa tigo hamjui kuitumia.
 
Back
Top Bottom