Eti nimfanyaje huyu?

Ngoja kwanza, usifanye unyama wewe tuliza akili vinginevyo utakuja jijutia
 
usilipize ubaya kwa ubaya vitu mwachie kwani mwanao nae atahusika kuvitumia endelea kujipanga mambo yako yakikaa sawa atakutafuta tu
 

hahahaha pole aisee..... sasa mtoto ana share vitu na wewe..... aache ujinga,,, kata makofi na mabanzi ya maana asipokuambia kwann kaamua kusema hivyo.... na sababu iwe ya maana..... nahisi vitu vyako mkuu anataka viwe zawad kwa huyo aliyempangia nyumba
 
mwachie bhaana! jipange utanunua ka subwoofer kengine ...........

Grand PA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…