Utafikiri ulikua kichwani mwangu wakati unaandikaHasara roho' Pesa makaratasi! Pesa na vitu hutafutwa na haukuzaliwa navyo' umetafuta tu na ukavipata hivyo anza upya. Na kuanza upya sio ujinga.
Usilumbane nae mwachie' jipange upya! Chukulia kama yalikuwa mapito na changamoto katika maisha. Maana haujakatwa mikono wala haujachukuliwa akili. Hivyo wewe bado ni tajiri tu.
angalia movie ya ABOUT LAST NIGHT
hasara roho' pesa makaratasi! Pesa na vitu hutafutwa na haukuzaliwa navyo' umetafuta tu na ukavipata hivyo anza upya. Na kuanza upya sio ujinga.
Usilumbane nae mwachie' jipange upya! Chukulia kama yalikuwa mapito na changamoto katika maisha. Maana haujakatwa mikono wala haujachukuliwa akili. Hivyo wewe bado ni tajiri tu.
swal zur......hebu nikuulize unataka kufanya unyama gani?
Huyo mdada yuko sahihi pale ni kwake na amekuwa muungwana kwa kukueleza mtoto uwe unaenda kumsalimia, mwanaume utategemeaje nyumba ya mkeo.Wadau nina mpenzi wangu ambae anasoma chuo kiukweli katumia pesa zangu sana tu mpaka akafikia kunizalia mtoto, sasa pesa zimekata na nyumba niliyopanga nikarudisha nikarudi home kujipanga upya nikiwa nae, kapata pesa akanambia kapanga nyumba kwaiyo nipeleke vitu tuka ishi wote tena.
Chakushangaza ile namaliza kuingiza vitu ndani tunatoka kwenda kula ananambia pale ni kwake na vile vitu nisahau vitakuwa vya mtoto ila nikitaka kumuona mtoto niende muda wowote ila siyo kwetu tena ni kwake na mtoto wadau nimfanyaje huyu kabla sijafanya unyama.
Naomba mawazo yenu kwanza.
Wadau nina mpenzi wangu ambae anasoma chuo kiukweli katumia pesa zangu sana tu mpaka akafikia kunizalia mtoto, sasa pesa zimekata na nyumba niliyopanga nikarudisha nikarudi home kujipanga upya nikiwa nae, kapata pesa akanambia kapanga nyumba kwaiyo nipeleke vitu tuka ishi wote tena.