BRN
JF-Expert Member
- Nov 18, 2013
- 5,346
- 6,841
Ni jina la wimbo wa bongo flava ulioimbwa na Baraka na Ruby ukiusikiliza kwa utuvu utaona ni namna gani mapenzi bila pesa yanakuwa magumu.Kijana analilia penzi kwa mpenzi wake ambaye anatoka na jamaa kwenye uwezo na ambaye anaihudumia familia ya binti kuna sehemu inasema' mapenzi sio pesa ila ikikosekana yanapungua usikilize uone kijana anavyolalamika kwa masharti magumu anayopewa.
Jumapili njema.
Jumapili njema.