eti ni kweli wanawake weupe wana jiskia sana.....?

eti ni kweli wanawake weupe wana jiskia sana.....?

Kuna mdada nilikua napiga nae stori aka niambia kua wanawake wengi weupe wana nyodo,pozi kwa sanaa na ukioa white skined gel jiandae kutongozewa kama sio kumegewa kwa vile wanaume wengi wanapenda madem weupe weupe(sio wa carolite).

...dizain kama kuna ukweli flani hivi kwa sababu nilikuaga na kadem flani hivi nesi mweupee alikua na nyodo.za hatari japo kua nyodo zake haziku ni affect coz nilikua namega tu kisela kuondoa ugumu....

Toa uzoefu wako na wewe kwa wanawake weupe...

Kuna nyodo na MTU kujiheshimu sasa ndugu yangu umeomba umekataliwa unasema nyodo...make bila Hela saiv no nyodo kwenda mbele regardless black o white
 
Mi sijui ngoja nimuulize white Girl eti wewe unajiskia?
 
Weupe ni nini?
Nyodo, kujisikia ni nini?

Mwisho, uwe na adabu!

Adabu anaweza akawa nayo kaificha huko chini kwenye suruali..awe na akili nahis hizo ndo zimepungua!
 
unapo sema white unamaanisha mzungu au au mweusi ambaye melanin hazijakolea kama jibu la pili ndo sahihi basi tumia LIGHT SKIN. otherwise globally waweza usieleweke unamaanisha nini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom