CotterPin
JF-Expert Member
- Jul 30, 2018
- 2,395
- 5,011
Pole sana mwanaume wa arushaKitendo cha kugundua hilo mi si mmoja wao!
Pole sana mwanaume wa arushaKitendo cha kugundua hilo mi si mmoja wao!
😂😂😂😂Kumbe na wewe upo chuga. Basi na wewe mada inakuhusu maana inahusu wanaume wa arusha
Mmh!!! Mkumbo wangu uanzie wapi mi bado mdogo hivi nawewe ni mkubwa hivyo???Nafuata Mkumbo wako au? Siwajui kwa kuwa wanaishi Jupiter ama? Pita kule
Hawajanitendea mabaya nimeambiwa tu kuwa wao ni vilaza na mwanaume mwenzao basi so wasinitolee hasira sio mimi jamani tena nimetoka wapi??Itakuwa wamekutenda vibaya pole Sana mkuu
Huyo mwanaume mzima kweli au mchicha mwibaHawajanitendea mabaya nimeambiwa tu kuwa wao ni vilaza na mwanaume mwenzao basi so wasinitolee hasira sio mimi jamani tena nimetoka wapi??
Ndio niwaulizeeKwq hyo Mkuu ulivoambiwa tu direct ukaja kufungua uzi badala ya kufikiria zaid by yourself....
Dah roho nayo ipo nini baba unabwabwaja hivyo mwisho wakupewa joto nilini hapa usilete stress cool down maisha ndio hivyo lazima usemwe lazima ukosolewe wewe hao wanawake wenye akili ndio unionyeshe kwa maana sijawaona wote ni vilaza kama waume zao tu ndio hivyo mmeuza mashamba yote mmemaliza kila idara kazi yenu kukaa clock tower na kushangaa mpaka ijioni halafu mnachopata mnaywea pombe hivi kunauongo gani wachagaa wakaja kununua mali zenu nyie mpo tuu sasa kwanini wanaume wajanja wasiwaite vilaza???Mtu mwenyeee anaewaita wanaume vilaza ni mwanamke anayebleed kila mwisho wa mwezi then hii jukwaa la la mapenzi sio la technology wala la kisayansi.. Wanaume wenye akili hawana muda na huo uchafu wenu...
Naona umeachika na mwanaume wa Arusha kwasababu huwa wanawaoa wanawake wenye akili.
Wewe una akili gani Ya kupima IQ za watu..
Au unawapima Kwa kutumia hiyo k##ma yko chafu.
Wajapani wakorofi sana hebu nyambulishaInawezekana! Watu wengi wa Arusha ni wakorofi sana, na mara nyingi watu wakorofi wana Iq ndogo. Wengi hukimbilia kutumia mabavu badala ya akili.
Sasa kama wameuza kila kitu wanaishi wap,nafikiri wangekuwa wanalala barazani na stand..embu njoo huku Meru, unionyeshe huyo mchagga anaishi huku..Dah roho nayo ipo nini baba unabwabwaja hivyo mwisho wakupewa joto nilini hapa usilete stress cool down maisha ndio hivyo lazima usemwe lazima ukosolewe wewe hao wanawake wenye akili ndio unionyeshe kwa maana sijawaona wote ni vilaza kama waume zao tu ndio hivyo mmeuza mashamba yote mmemaliza kila idara kazi yenu kukaa clock tower na kushangaa mpaka ijioni halafu mnachopata mnaywea pombe hivi kunauongo gani wachagaa wakaja kununua mali zenu nyie mpo tuu sasa kwanini wanaume wajanja wasiwaite vilaza???
Nyie ni vilaza kweli naact kujidai tu.
Watu wa arusha asilimia kubwa ni waarusha mmeuza kila kitu na watoto wenu wamechezewa hao wanawake wenye akili mbona hawajazuia wanaume zao wasiuze mashamba na pia mbona hawajawazuia watoto wao wasichezeww na wahamiaji usituchoshe hapa na sera zako za za kiarusha.