Eti ni kweli wanaume warusha ni vilaza??

Inawezekana! Watu wengi wa Arusha ni wakorofi sana, na mara nyingi watu wakorofi wana Iq ndogo. Wengi hukimbilia kutumia mabavu badala ya akili.

Wanajifanya waarab/Waislam....yaani hawataki kuambiwa ukweli ukimwambia ukweli tu atataka kujiua ama kukuua wewe. Ngoja nikamtafute Dogo Janja nimwambie akapige mswaki yale meno yake yaliyooza nione kam atajiua kwa kuvaa mabomu mwilini.
 
Dah, unajua maswali mengine yanaonesha ni jinsi gani ulivyo kilaza wewe mwenyewe. Akili siyo kitu cha jumuia, ni kitu binafsi sana. Though wakati mwingine jamii fulani inaweza ikawa inatilia maanani elimu lakini haina maana wote ni vipanga. Mfano ni kwenye familia yako vilaza wapo na vipanga wapo na inawezekana mkawa vilaza wote au vipanga wote. Jiongeze binti
 
1.unahasira
2.wewe ni kilaza kweli
3.unahangaika kama nimimi nimesema nyie nivilaza hutofautishi kusema na kuambiwa ndio nikauliza.
Sasa wewe kishoia familia yangu inakuhusu nini peleka bangi zako kwenu vilaza wakubwaaaa.
Tena mlilaaniwaga nawazunguu mpaka leo mnakatana nakukata chochote kilichombele yenu.
 
Siyo vilaza, ni watafutaji wapambanaji, sema kuna tatizo kubwa sana linaendelea Arusha na moshi kwa vijana, pombe na bangi inaua nguvu kazi mika 20 ijayo itakuwa haina same work force, intelligent and hard working people...bangi!music(hiphop) na ujambazi
Arusha na Kilimanjaro inaathiriwa sana na wageni...yaani wa Asia.pia watu wa Kenya kwa kias kikubwa
 
Hivi mbona watu huwatukana wadada sisi kimya vitimbii kimya nyie ni akina nani msisemwe licha ya mtu kuuliza sasa nasemaje arusha kuna vilaza basi nione mtafanyaje mi mmasai ni jasiri hatuogopi watu tunaogopa simba
 
Ahahahah.. ngoja niangalie habari za wanaume wa mikoani na swaga zao.

Juzi kuna mtu amefichua siri, Mbeya ni wachawi
Jana Wadada poa wa Kilimanjaro/Moshi kaka zao washindwa kuwaoa.
Juzi kati Mwengine kaleta uzi akilalamikia Kilimanjaro kunywa mbege/komoni mpaka misibani
Leo Vilaza wa Arusha.
Mwnegine jana ana uzi wa Kagera akilalamika kuzarauriwa
 
Kuna mtu kaniambia arusha hakuna wanaume eti wengi waoni vilaza is it true???
Naombaa nijuzwe
To confirm this..!

Ni kweli Arusha wanawake ni mashujaa kwa waume zao, ni kati ya mji wa ajabu sana vidume wao ni tungi, bangi na kupokea amri kutoka kwa wanawake.

Kitu kingine mademu wa Arusha aisei hawana chura sijui waliugua ugonjwa gani ni baby face tu, ila akikupa mabega huwezi tambua ni jinsia gani.

Afu vijana wengi ni wapuuzi kinoma wamezoea kurithi ni wachache wenye akili kiasi fulani walioendelea ni wakuja hasa wachaga, wamiliki wa makampuni ya utalii ni wachagga wazawa wao ni watwana tupu wabeba mizigo milimani.

Wanapenda kuvaa maaviatu makubwa maarufu kama NDULA kwao ni fashion. Ni washamba wa kila eneo la maisha wao kutongoza ni kutoa pesa.

Ni shida sana, hawana shwaga zaidi ya kujifanya UKAWA huku wanashinda bila kula. Ni wavivu ajabu hupenda kazi nyepesinyepesi na kuendekeza ulevi huku wakiamini bangi haina madhara wana ndoto za kuoa mzungu kila mmoja huku akisahai nyumbani kwao yeye ndiye mwanaume pekee waliobaki ni wasichana na wanatakiwa kuolewa.

Dada zao ni wababe kupita maelezo, hawako romantiki, na hupenda kuvaa magauni yaliyochanua angalau wafiche aibu ya kukosa chura! Shida nyingine kubwa ni vitambi vya supu ya kongoro la kitimoto wanayobugia bila kujali huku wakisahau hawana chura, matokeo yake unaweza chura iko mbele kumbe likitambi uzembe..[emoji34][emoji34][emoji34]
 
Nimezimia maana niukweli ila mimi ninalo bhana haswa wameru badhi wanayo nasisi wamasai wamjini.
Ila umesema ukweli
 
[emoji16][emoji16][emoji16] Niko chugga hapa huwa najionea mengi eti wanawake wanatamba kabisa barabarani kuwanyima unyumba waume zao na kujidai huku wakifundishana ujinga "utasikia usimuendekeze atakusumbua" hapo kidume anapangiwa mkakati kudhibitiwa hali ya namna hii haiko kwetu kanda ya ziwa kidume hapo unakuwa mkali km umeshikwa tako mwanamke akupande kichwani afu alale salama haiwezekani.
 
Kumbe na wewe upo chuga. Basi na wewe mada inakuhusu maana inahusu wanaume wa arusha
 
Kama wanaume wa Arusha ni vilaza, sijui wa mikoa minginr tuwaweke kundi gani kama sio mazezeta ni mataira kabisa.
 
Mimi muhamiaji mkuu, huwa naona ni maajabu na mashikolo mageni kusema kweli...!
Mleta mada kasema wanaume wa arusha sio wazaliwa wa arusha. Hii inamaanisha ni kwa mwanume yoyote anaekaa arusha
 
Back
Top Bottom