Eti ni kweli Mwanamke mwenye matako makubwa anajiamini kuliko mwanamke mwenye digrii?

Sio kijiamini na wanajionaga wazuri hakuna kama wao wanatuoa tabu sana vimbaumbau
 
Marekani Big Ass ndio dili,wasiokuwa nayo ndio wanahaha kutaka kufanya ulimwengu usiamini katika mat ako Makubwa....! dili lankuongeza mat ako limeanzia huko huko nchi za ng'ambo tell me why?
Oprah ni tajiri,kamuangalie,Mwanamke tajiri sn duniani yuko China,kamuangalie,wako wanawake wengi sn matajiri hawana iyo kitu,naongelea Akili bwn,hao wenye makalio wana hela ya kununulia mawigi tu..
 
Wako wengi unataja wawili...by the way wapo wenye matako makubwa na wana akili.....kamfano kadogo Serena William....
 
Oprah ni tajiri,kamuangalie,Mwanamke tajiri sn duniani yuko China,kamuangalie,wako wanawake wengi sn matajiri hawana iyo kitu,naongelea Akili bwn,hao wenye makalio wana hela ya kununulia mawigi tu..
Asee wewe una akili Nita kuoa
 
Back
Top Bottom